JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 483
Wadau mwakan nataka nisome Bachelor ya MASS COMMUNICATION je itanisaidiaje katika soko la ajira ?na nitafanya kaz kama nani naomba mnipe mwanga jamani
Wadau mwakan nataka nisome Bachelor ya MASS COMMUNICATION je itanisaidiaje katika soko la ajira ?na nitafanya kaz kama nani naomba mnipe mwanga jamani
Utakuwa Mwandishi Wa Habari au Afisa Habari au Afisa Uhusiano Uliye Na Ueledi ULIOTUKUKA Ktk Kazi Yako. Na Kama Hiyo Haitoshi Uzuri Wa Kozi Hiyo Ya Mawasiliano Ya Umma Bado Unaweza Ukafanya Kazi Hata Zile Zisizo Za Uandishi au Mahusiano Na Ukafanya Kazi Hata Ktk Balozi, Taasisi Zinazohusiana Na Jamii, Benki Na Maeneo Mengine Mengi. Ni Kozi Nzuri Sana ISIPOKUWA Changamoto Kubwa Hapa Tanzania Wanaosoma Hiyo Kozi Hujikuta Hata Wakifanya Kazi Ya Mshahara Wa Tsh Laki Tatu Na Hii Inatokana Kwamba Wamiliki Wengi Wa Media Outlets Hapa Nchini Tanzania Hawapendi Kuajiri Intellectuals Kama Nyie Wenye Shahada Zenu Kwakuwa Wanasema Mtataka Mishahara Mikubwa Hivyo Wanawaajiri Wale MAKANJANJA Ambao Hata Wakilipwa Tsh Elfu Tatu Kwa Story Hawalalamiki. Ukibahatika Kupata Kazi Ktk NGO's Ndipo Utaona UTAMU Wa Hiyo Kozi! Yangu Ni Hayo Tu Mkuu Na Nadhani Kidogo Nitakuwa Nimekusaidia Na Nawaachia Na Wengine Wachangie.
Wadau mwakan nataka nisome Bachelor ya MASS COMMUNICATION je itanisaidiaje katika soko la ajira ?na nitafanya kaz kama nani naomba mnipe mwanga jamani
Matokeo ya Big Results Now. BRNMkuu wewe ulisema tayari una diploma ya journalism hapa Diploma ya journalism kusoma degree ya ualimu inawezekana?
Hivi inaingia akilini kweli mtu mwenye diploma ya journalism awe hajui akisoma mass com atafanya kazi gani? i'm Just thinking aloud
Cc: #mkoroshokigoli
Mkuu hio avatar
asanten sana nimewapenda wote
hivi kuna fursa zipi za kujiajiri kutoka kwenye hii course? GENTAMYCINE
Mm nina Diploma 2 lengo katika maisha yangu nahtaj kufit sehemu kadhaa za ajira au kujiajiri Diploma hizo ni,
1.Diploma in Media and Film Design
2.Diploma in Journalism
Sasa kwa sasa nahtaj kusoma degree ndio nafanya uchunguz degree ipi itanifaa ambayo itakua na fursa nzuri kujiajir ama kujiajiri
Google.
Ahsante kwa ufafanuzi brUtakuwa Mwandishi Wa Habari au Afisa Habari au Afisa Uhusiano Uliye Na Ueledi ULIOTUKUKA Ktk Kazi Yako. Na Kama Hiyo Haitoshi Uzuri Wa Kozi Hiyo Ya Mawasiliano Ya Umma Bado Unaweza Ukafanya Kazi Hata Zile Zisizo Za Uandishi au Mahusiano Na Ukafanya Kazi Hata Ktk Balozi, Taasisi Zinazohusiana Na Jamii, Benki Na Maeneo Mengine Mengi. Ni Kozi Nzuri Sana ISIPOKUWA Changamoto Kubwa Hapa Tanzania Wanaosoma Hiyo Kozi Hujikuta Hata Wakifanya Kazi Ya Mshahara Wa Tsh Laki Tatu Na Hii Inatokana Kwamba Wamiliki Wengi Wa Media Outlets Hapa Nchini Tanzania Hawapendi Kuajiri Intellectuals Kama Nyie Wenye Shahada Zenu Kwakuwa Wanasema Mtataka Mishahara Mikubwa Hivyo Wanawaajiri Wale MAKANJANJA Ambao Hata Wakilipwa Tsh Elfu Tatu Kwa Story Hawalalamiki. Ukibahatika Kupata Kazi Ktk NGO's Ndipo Utaona UTAMU Wa Hiyo Kozi! Yangu Ni Hayo Tu Mkuu Na Nadhani Kidogo Nitakuwa Nimekusaidia Na Nawaachia Na Wengine Wachangie.
Asante nawe kwa Kushukuru na Karibu sana.Ahsante kwa ufafanuzi br