sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
PARA TA TA TA TA !!!!!!
Kuna muda unapita karibu na vyoo unaweza kuhisi kuna makombora yanafyatuliwa kwenye ukanda wa gaza.
Sana sana eneo lililotulia hakuna makelele au usiku pakiwa kimya sana na kuna mtu tumbo limevuruga, eeeeeh acha tu
Yani kuna mda ukiona mtu anapita karibu na choo unaweza kuona aibu kuendelea na zoezi au ukachukia na kuamua tu liwalo na liwe.
Nachoshauri vyoo viwe vina sound proof kuzuia kelele kutoka nje, Ni aibu sana hasa pale mtoto mdogo anakusubiri mlangoni unakuta tu unaanza kujistukia na kuahirisha zoezi