Naona vijana wengi wamekuja na ushauri, ngoja nasi wazee tukusaidie:
1) its called boredom of love. Tatizo kubwa linatokana na kufanya mapenzi ki-routine, inakuwa unaelewa na mpenzi wako anaelewa, mtaanza vipi, mtamaliza vipi mpaka inakuwa ni routine na kila mmoja ana kuwa bored. Tiba: Badilisha routine za kufanya mavituz, kama vile badili time, venue na tactics.
2) Unafanya kazi sana za kukuchosha si tu kimwili bali kimawazo. Angalia, ikiwa ni kazi tuuu na nyumbani ujuwe kuna kazi! Tiba: Kazi na mchezo, mchezo na kazi. Ukiona umetingwa sana na kazi na unaweza kukimbia nyumbani kwa lisaa limoja basi fanya hivyo, ondoa presha kwa kuvinjari na your lover nyumbani, halafu rudi kazini, you will succeed in both.
3) Unafanya tendo la ndoa kwa mpenzi wako ili mradi tu basi ulifanye na unakuwa huna hamu nalo. Tiba: usifanye mapenzi mpaka pale unaposikia kweli unataka kufanya na mwenzako kweli anataka kufanya.
Hayo yote ni kwa wana-ndowa tu.
LIKE mkuu