Nikipiga kimoja tu nasinzia

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,559
1,506
Duuh, sijui hili ni tatizo wanaJF?

Yaani mi nikiwa kwenye majambo na mke wangu nikimaliza tu, baada ya kama dakika mbili napata usingizi wa kufa mtu.

Naamka baada ya kama lisaa limoja hivi.

Napenda kuuliza, hili ni tatizo au ni jambo la kawaida?
 

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,091
4,220
Hii thread kama ilishakuwepo tukaijadili sana sijui urudi nyuma usome hizo comments halafu tuendelee unaonaje???
 

alwim

Member
Nov 30, 2010
16
0
pole sana mkuu,
kuna maswali mawili yawekwe sawa
1. ni kuanzia lini hiyo khali imetokea
2. ni wanawake wangapi umewahi kufanya nao mapenzi mtangu ubaleee
3.je ni wote ulikuwa inapiga bao moja tu unachoka
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,519
6,088
nimelogwa na nani sasa? demu wangu au majirani? hivi haya mambo nayo yanalogeka eeeh?

majirani watakuwa wanakuonea wivu ndo wamekuroga.yaani haiwezekani goli moja umarembua mimacho kama teja..haiwezekani hata kidogo
 

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,559
1,506
pole sana mkuu,
kuna maswali mawili yawekwe sawa
1. ni kuanzia lini hiyo khali imetokea
2. ni wanawake wangapi umewahi kufanya nao mapenzi mtangu ubaleee
3.je ni wote ulikuwa inapiga bao moja tu unachoka

hii imeanza mwaka huu,
nilishapiga wengi mpaka idadi siikumbuki sana...
lakini kwa mfano nikiwa na mwingine, napiga mpaka tatu ndio nalala, ila nikiwa na huyu mchuma wangu, ni kamoja tu, hoi...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom