maliyamungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 564
- 420
Pole sana mkuu. Unaambiwa mwanamke ni mdhaifu hujui usemi huu una maana gani, hawa viumbe hata uwafanyie nini wape kila kitu hata mpe Dunia hii yote mwambie yako. Atadanganywa na kitu kidogo tu. Atasahau vyote.Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka. Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe Mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo mungu sio LEMUTUZ juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyoskia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... nikamtaja jina mke kapewa simu kuskia sauti yangu kakata simu roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Chunguza kwanza
Asante.pole sana... hiyo jinsia ni dhaifu toka enz za adam na hawa...
Mkuu uchunguzi si ndo huo.? Akirudi marufuku China !!Chunguza kwanza
Mkuu ukigeuka kitimoto tutakutafuna aisee
Pole sana jombaa umestaafu mapenzi rasmi
Not all!! Kuna MTU tulipanga nae, nasubiria arudi toka masomoni tutiliane saini kilammoja ale kwake and I mean it, miaka 3 tuliyokubaliana, ingawa yeye ameshaenda mbaaali na sitowezarudiana nae kabisa! I only keep the promise of those 3 yrs to me! Nashukuru nimewezaPole sana mkuu. Unaambiwa mwanamke ni mdhaifu hujui usemi huu una maana gani, hawa viumbe hata uwafanyie nini wape kila kitu hata mpe Dunia hii yote mwambie yako. Atadanganywa na kitu kidogo tu. Atasahau vyote.
Huu uzi sijakuelewa ujueNot all!! Kuna MTU tulipanga nae, nasubiria arudi toka masomoni tutiliane saini kilammoja ale kwake and I mean it, miaka 3 tuliyokubaliana, ingawa yeye ameshaenda mbaaali na sitowezarudiana nae kabisa! I only keep the promise of those 3 yrs to me! Nashukuru nimeweza