mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 588
- 291
Ni mjinga mmoja tu, ni aliyerogwa 1 tu, ni aliyelaaniwa 1 tu, ni asiye na akili 1 tu, ni hayawani 1 tu, ni mshenzi 1 tu, ni kahaba 1 tu...... anayeweza kujibu hoja za walio kuzimu, wanaosubiri hukumu ya Yuda Iskariote msaliti no 1 na wenziye wapo tz leo.
Huitajiki, hufai, hutakiwi, endelea kufanya kazi ya Alliance of CCM and Traitors Wazombi.
Mtabadilisha sana title za thread za unafiki,chadema ni super power.
Kamanda naomba unisaidie majibu tu.
Mimi yakipatikana ya EPA na ESCROW kuhusu hela zetu zitarudi lini nakuwa Mhamasishaji wa CCM
Wewe baki huko huko CCM chadema hatuhitaji mizoga!
Makamanda waje haraka watusaidie majibu ya maswali hayo,kwani tunasubiri majibu.
Na mimi siondoki mpaka majibu yapatikane.
Acha unafki, unataka kutuaminisha hizo ndo dhambi/makosa makubwa sana!! Hata Jk c 2010 c alisema hataki kura za walimu, ccm c mlisema Chenge, Lowasa karamaji ni mafisadi mbona bado mnawakumbatia!!?
Baki huko huko CCM walioko CDM wanatosha
mimi nilifikiri kuwa kama mafisadi wangechukuliwa hatua kali ndio ungerudi CCM,kumbe ni kujua tu hela zitarudi lini!Pole sana mtanzania mwenzangu
na aya ndo majibu ya makamanda,,,uyu kawakilisha wenzake weengiNa wasi wasi hata huo u-Dr ni wakichina kwa maana hiyo hujafuzu na hustahili kupata majibu.
Waone akina Juliana na Mfalme wa ACT-Wazalendo watakuwa na majibu. U-Dokta wa aina hiyo ni hata kwa afya ya akili ya Wana UKAWA na JF members.
Kurudi Chadema? Ukitokea wapi? Je ulifikaje huko ulikokuwa?Nataka kurudi Chadema mara baada ya .....
Mathalani, kwa sasa huyaamini maneno yanayotolewa na wanachadema, utaamini vipi majibu utakayopewa?Nitayaamini maneno yanayotolewa na wanachadema siku siku haya maswali yakipatiwa majawabu
Ahaa, unatamani kuwa kamanda, kwani kwa sasa wewe ni nani? Maamuzi magumu ni yapi? Kurudi Chadema au kujiunga na Chadema? Vyovyote vile kwa nini yawe magumu?Natamani sana kuwa Kamanda lakini haya yananitatanisha,naombeni majibu ili nifanye maamuzi magumu.
Duh, yaani kwa sasa hujitambui, siyo? Hayo marumbano ndio nini na hofu ya kutojenga yanatoka wapi?Sina nia ya kuibua Marumbano yasiyotujenga bali nataka mtu mwenye uelewa mkubwa kuliko mimi anaondoe Uvulivuli ili nami nijitambue.
Ulidai toka mwanzo unataka kurudi Chadema. Sasa kwa nini hukuweza kuitetea Chadema popote huko mwanzo na badala yake ukajiondoa?Naomba nijibiwe hayo ili nami niwe Kamanda nitakaeitetea Chadema popote.
Kwa hiyo ACT-Tanzania/Wazalendo ni chama cha mpito. Imeanzishwa kwa malengo maalum na hatma yake iko mikononi mwa Chadema! Duh, muombe radhi Supreme Leader ama siyo?Hayo Majawabu yakipatikana,ndio utakuwa mwisho wa Chama cha ACT-Wazalendo
Ha ha haa! Umma gani unauongelea hapa...umma wa mtu moja Dkt Kilembwe? Acha utani kijana.maana umma utaiamini Chadema na hivyo kuiunga mkono.
ACT-Wazalendo tena? Una tatizo gani Dkt Kilembwe, are you okay? Nimeona mahala unamwita assadsyria3 kamanda, jamani JF inazidi tu kuwa kokoro...yaani inazoa zoa tu! Unataka watu wampuuze Supreme Leader kwa kui"beep" Chadema! Pole kijana, mwaka huu ni wa hatari kweli kweli. kuchanganyikiwa si kuchanganyikiwa!Karibuni kwa majibu Makamanda ili nasi tupate chakuwaambia wananchi ili waipuuze ACT-Wazalendo.
In politics there is no permanent hostile.........u dance according to the tune.
CHADEMA HATUTAKI WASALITI. Nenda kwa mwaccm