Ndevu mbili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 379
- 40
Nipo serious.....haya, tufungue kampuni kabisa.
Shares iwe 51 by 49.
Nipo serious.....
Wapi nitazipata huko Africa?
Pia hufai kuwa shared.
Maana hata jambo halijakua comfirmed unaweka mashart ...
Mi niko tofauti kidogo! Ninatafuta ya kupunguza nguvu! Mara kwa mara nakimbiwa, mara nirudishiwe pesa huko uliko naweza pata dawa ?
Hili halina ukweli.Nguvu alizo kumpa mungu zinatosha sana haina haja yakuongeza zingine zitakudhuru.
Mungu kakupa Akili, ukiweka kwenye akili yako wewe uko positive kwenye hilo jambo utakuwa positive tu, utumie dawa au usitumie.
Ukijiwekea akilini kwako wewe uko negative huwezi kitu basi utabakia hivyo hivyo, hakuna cha dawa wala mganga atakae kusaidia.
Wanao tumia dawa na wakafanikiwa ni wale wameisha jiwekea kwenye akili zao hawawezi bila dawa....Kila kitu hapo ni kutumia akili...Ingekuwa akili zao haziamini dawa haifanyi kazi basi hazitafanya kazi...Wataalamu wanasema; Psychological problem...DAWA NI AKILI YAKO MWENYEWE UNAVYO ITUMIA.
Ngoja niku PM unipe full story.Ushauri wa Bure.....wazingatie their daily diets....Otherwise kama ni spares tafuta watu wanaotokea huko mlimani LUSHOTO!!!
Hiyo ipeleke sugery !Mi niko tofauti kidogo! Ninatafuta ya kupunguza nguvu! Mara kwa mara nakimbiwa, mara nirudishiwe pesa huko uliko naweza pata dawa ?
Nimepata mawasiliano yake...lakin namba yake mtaalam ya mwisho sijaelewa # ngapi hapo?vigezo na masharti kuzingatiwa..zinapatkana sana bongo..
View attachment 44530
Hawa wa huku nawaona wanapika zaidi.Pweza na Hennessey! vyote vinapatikana Canada....
Halafu huko si kuna wachina kibao?
Ndio tulipo sasa!Peleka jukwaa la biashara.
vigezo na masharti kuzingatiwa..zinapatkana sana bongo..
View attachment 44530