Lakini watu wanaofaulu hawasomi namana hiyo. Kusoma kuelewa hakuhitaji kukesha. Unapolazimisha kukesha maana yake hauna TIME MANAGEMENT. Ukiwa unatumia vibaya Muda wako wa Mchana, ndio utajidai kulazimisha kukesha wakati wa Usiku Mwili wako ukiwa umeshachoka. Hua hatuendi hivyo. Huwezi kuelewa na Kukumbuka unachokisoma katika hali hiyo ya kulazimisha wakati mwili na akili imesha choka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.