mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
jamaa tapelitapeli, komedi, mjanjamjanja, anavaa uhusika hadi basi...
Huyu commedian wa nchi gani mkuu?
jamaa tapelitapeli, komedi, mjanjamjanja, anavaa uhusika hadi basi...
Nkem OwohHivi anaitwa nan na movie mojawapo alocheza na mm ni Google Mkuu, Niko mbali na Dunia bado Asubuhi
Nigeria.Huyu commedian wa nchi gani mkuu?
Hahahahahahaaaa.... nkem owoh almarufu usofia
wa hapa JF MKUUBujibuji wa wapi mkuu?
NigeriaHuyu commedian wa nchi gani mkuu?
Anafanana sana na bwana mmoja anaigiza kwenye vichekesho vya mizengwe ITV
yule bwana ana kipaji sana aysee,ana maneno mengi mnoooAnafanana sana na bwana mmoja anaigiza kwenye vichekesho vya mizengwe ITV