Kwani hiyo pombe unakunywa kwa pua?Wakuu toka jana na leo nimekua nikisumbuliwa na kifua na mafua
Nimemeza codrin,Panadol na Mucoryn
Je nikinywa pombe inaweza kunisababishia matatizo??
Usinywe dawa zitakosa nguvuNimeuliza kwasababu kuna dawa nshawahi kupewa doctor aliniambia hazina madhara hata nikinywa pombe