Nikinyoa kipara kabisa Naumwa sana

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Natumain ni wazima
Naombeni msaada jamani Mimi napenda sana kunyoa kipara kile ccha kung'aaa kabisa ila sasa kila nikinyoa tuu lazima nilazwe hospital yani nakuwaa Naumwa balaaa na hata wakifanya vipimo hakunaga ugonjwaa wowote
JE TATIZO NI NINI LINALOSABABISHA HIVYO
 
Tatizo n kipara mkuu
Unanikumbusha kuna mtu mmoja alinyoa vinyweleo vyote alilazwa zaid yako maisha n mafup epuka kila unalohs sio zur kwako
 
Natumain ni wazima
Naombeni msaada jamani Mimi napenda sana kunyoa kipara kile ccha kung'aaa kabisa ila sasa kila nikinyoa tuu lazima nilazwe hospital yani nakuwaa Naumwa balaaa na hata wakifanya vipimo hakunaga ugonjwaa wowote
JE TATIZO NI NINI LINALOSABABISHA HIVYO
Sasa kama unaumwa mjomba nyoa style nyingine kuna wengine wakifuga nyele wanatoka chunusi usoni so lazma wanyoe para... nahisi hao ndo vice versa yako
 
Natumain ni wazima
Naombeni msaada jamani Mimi napenda sana kunyoa kipara kile ccha kung'aaa kabisa ila sasa kila nikinyoa tuu lazima nilazwe hospital yani nakuwaa Naumwa balaaa na hata wakifanya vipimo hakunaga ugonjwaa wowote
JE TATIZO NI NINI LINALOSABABISHA HIVYO
Unaweza kuwa una allergy na materials zinazutumika kutengeneza vinyolezi unavyotumia. Kumbuka kunyoa kipara kunaacha vitundu na hata michubuko midogo midogo ambayo inaweza kusababisha contact kati ya mzunguko wako wa damu na materials za kutengenezea viwembe/mashine na hasa ikizingatiwa matearils kama nickel hutumika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom