Nikimwambia tuachane anakata simu

Mm ilishanitokea ila nilikuwa siombwi Pesa ila nilitaka kumwacha akawa hataki nilichofanya kwa kuwa simpendi aliona picha yy mwenyewe akaacha kunizonga...inaonekana ww bado unampenda sanaa
 
Kwani lazima umbembeleze ili muachane? We kaa kimya tu akipiga usipokee,SMS usijibu n.k. ukijifanya mjanja atakuchuna mpaka damu ikutoke hataki kukuacha kwasababu kakugeuza ATM yake,nahisi hata mbunye anakubania sana tu
 
Namba 4 ni kero kubwa niliwahi kuwa mtu anajitia mshika dini kuliko Yesu ila ana matusi kupita kiasi haiwezi isha siku hayakutukana na kejeli kibao(hawavumiliki)
 
Kumbe ndo ka tabia kenu[emoji18] [emoji18] [emoji18]
 
Kiasiri wanaume huwa hatuachi tuna achwa. Usiniulize ufafanuzi bangua bongo yako vizuri jibu utapata kirahisi
 
Namba 4 ni kero kubwa niliwahi kuwa mtu anajitia mshika dini kuliko Yesu ila ana matusi kupita kiasi haiwezibisha siku hayakutukana nankejeli kibao(hawavumiliki)
Huyu raia anatukana usipime mkuu,,,,!
 
Anarudije?? Kama amekata simu na kukaa kimya Kwanini Wewe umtumie SMS ????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…