zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,829
- 36,508
Kama hujui hta JPM aliongozwa sala ya toba na walokole kwa ishara tu but haibadili ukweli kwamba alikua na vifungo vingine vya kiroho. Unless walivunja na maagano yote aliyoweka, He will rot in hell forever.Mungu siyo amsterdam wala lisu,
Ndio maana yule mwizi pale msalabani alienda na Yesu mbinguni moja kwa moja katika dk za mwisho za kukata roho alitubu