Nikimuwaza Ben Saanane napata mshtuko

Nikimuwaza Ben Saanane napata mshtuko

Mimi bado naamini Ben na Azory wapo.Ni imaani yangu vyombo vyetu vya usalama vinaendelea na uchunguzi na tutapewa majibu sahihi wakati muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika nikimuwaza Ben sanane na Azory gwanda napata mshtuko wa moyo napata kiwewe najiuliza last moments zao zilikuwaje?

Najiuliza pale walipokamatwa paap na hatua za mwisho mpaka kutoweka kwao mpaka Leo !! Navaa viatu vya mke wake na watoto wao ben nà gwanada yani nashindwa kuelewa mtu unapataje ujasiri wa kumuombea mtu aliyewapoteza watu wasio na hatia.

Ninapowaona viongozi wa dini na waimbaji wa nyimbo za kumsifu mtu aliyepoteza watu kimasihara nashindwa kuelewa Mungu yupi wanaemuabudu.

Mwisho wa yote muda utaongea.

Pumzika Ben
Pumzika Azory
Mkuu, mapunguani, wapumbavu na wajinga wote hapa Tanzania wanapatikana CCM ndo, kwa hiyo usishangae majitu mapumbavu kumsifia muuaji katili .
Leo nilimtembelea jamaa yangu niliyesoma naye primary school, ana maisha magumu kupindukia, anaishi nyumba ya tope isiyo hata na sakafu, watoto wake, mke wake na yeye wamechakaa kwa umaskini wa kutupwa .
Nilibeba 200,000 ili kwenda kumsaidia, lakini sikumpatia hiyo pesa nimerudi nayo baada ya kuanza kumsifia Magufuli na kudai kuwa atamchagua tena

Hiyo 200k Mkuu bora ukahonge na Kunywa Beer

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Mkuu, mapunguani, wapumbavu na wajinga wote hapa Tanzania wanapatikana CCM ndo, kwa hiyo usishangae majitu mapumbavu kumsifia muuaji katili .
Leo nilimtembelea jamaa yangu niliyesoma naye primary school, ana maisha magumu kupindukia, anaishi nyumba ya tope isiyo hata na sakafu, watoto wake, mke wake na yeye wamechakaa kwa umaskini wa kutupwa .
Nilibeba 200,000 ili kwenda kumsaidia, lakini sikumpatia hiyo pesa nimerudi nayo baada ya kuanza kumsifia Magufuli na kudai kuwa atamchagua tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umerudi na pesa zako, kiazi kweli huyo jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika nikimuwaza Ben sanane na Azory gwanda napata mshtuko wa moyo napata kiwewe najiuliza last moments zao zilikuwaje?

Najiuliza pale walipokamatwa paap na hatua za mwisho mpaka kutoweka kwao mpaka Leo !! Navaa viatu vya mke wake na watoto wao ben nà gwanada yani nashindwa kuelewa mtu unapataje ujasiri wa kumuombea mtu aliyewapoteza watu wasio na hatia.

Ninapowaona viongozi wa dini na waimbaji wa nyimbo za kumsifu mtu aliyepoteza watu kimasihara nashindwa kuelewa Mungu yupi wanaemuabudu.

Mwisho wa yote muda utaongea.

Pumzika Ben
Pumzika Azory
Tangu nilipo ona ile mnaita kripu ya "Jamal Kashogi alivyokatwa shingo" nawaza mpaka nyuma ya ubao. Tuwaombee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika nikimuwaza Ben sanane na Azory gwanda napata mshtuko wa moyo napata kiwewe najiuliza last moments zao zilikuwaje?

Najiuliza pale walipokamatwa paap na hatua za mwisho mpaka kutoweka kwao mpaka Leo !! Navaa viatu vya mke wake na watoto wao ben nà gwanada yani nashindwa kuelewa mtu unapataje ujasiri wa kumuombea mtu aliyewapoteza watu wasio na hatia.

Ninapowaona viongozi wa dini na waimbaji wa nyimbo za kumsifu mtu aliyepoteza watu kimasihara nashindwa kuelewa Mungu yupi wanaemuabudu.

Mwisho wa yote muda utaongea.

Pumzika Ben
Pumzika Azory
Mimi nikiangalia hii picha
2108469_IMG_20190708_112420_395.jpg
 
Sisi waafrika ni watu waajabu sana, wakaloni wa kiarabu walitutesa sana, wazungu wametutesa sana....Tumepewa uhuru...lakin cha kushangaza bado kuna mijitu unaudhubutu wa kumpoteza mtu au kumtoa uhai halafu mambo yakaisha tu..inatia huruma sana..na Tatizo kuna wenzetu wanajiona kama ndo wazalendo namba moja, wao ndo wanauchungu sana na hili taifa...watu wanashindwa kutofautisha utii za uzalendo kwa taasisi na utii na uzalendo kwa taifa...na katiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilimtembelea jamaa yangu niliyesoma naye primary school, ana maisha magumu kupindukia, anaishi nyumba ya tope isiyo hata na sakafu, watoto wake, mke wake na yeye wamechakaa kwa umaskini wa kutupwa .
Nilibeba 200,000 ili kwenda kumsaidia, lakini sikumpatia hiyo pesa nimerudi nayo baada ya kuanza kumsifia Magufuli na kudai kuwa atamchagua tena
...🤔🤔🤔...
 
“Ni muuaji wa Watanzania wenzake pasi na shaka yeyote ile” - Mark Pompeo.
 
Bila shaka watakuwa walipitiwa na mkono wa mdhulumu haki ya watu kuishi.
 
Hakika nikimuwaza Ben sanane na Azory gwanda napata mshtuko wa moyo napata kiwewe najiuliza last moments zao zilikuwaje?

Najiuliza pale walipokamatwa paap na hatua za mwisho mpaka kutoweka kwao mpaka Leo !! Navaa viatu vya mke wake na watoto wao ben nà gwanada yani nashindwa kuelewa mtu unapataje ujasiri wa kumuombea mtu aliyewapoteza watu wasio na hatia.

Ninapowaona viongozi wa dini na waimbaji wa nyimbo za kumsifu mtu aliyepoteza watu kimasihara nashindwa kuelewa Mungu yupi wanaemuabudu.

Mwisho wa yote muda utaongea.

Pumzika Ben
Pumzika Azory
Ndugu uneandika kwa uchungu mno,nimejihisi kutokwa na chozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMINA.... Aliyehusika yupo kuzimu anasubiri kujibu mashtaka yake.
Mungu siyo amsterdam wala lisu,

Ndio maana yule mwizi pale msalabani alienda na Yesu mbinguni moja kwa moja katika dk za mwisho za kukata roho alitubu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom