Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,812
- 40,299
Hakika nikimuwaza Ben sanane na Azory gwanda napata mshtuko wa moyo napata kiwewe najiuliza last moments zao zilikuwaje?
Najiuliza pale walipokamatwa paap na hatua za mwisho mpaka kutoweka kwao mpaka Leo !! Navaa viatu vya mke wake na watoto wao ben nà gwanada yani nashindwa kuelewa mtu unapataje ujasiri wa kumuombea mtu aliyewapoteza watu wasio na hatia.
Ninapowaona viongozi wa dini na waimbaji wa nyimbo za kumsifu mtu aliyepoteza watu kimasihara nashindwa kuelewa Mungu yupi wanaemuabudu.
Mwisho wa yote muda utaongea.
Pumzika Ben
Pumzika Azory