Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,109
Nifanyeje mkuuDomo mbigiri
Du Kwa hali hii ya uchumi wa sasaFanya muamala kwa tgo pesa yaKe tuma laki afu tuLia kama amna kilichotokea
sku ungne ukimuona tena mwambie aje kwako umuonyeshevkitu akiuliza tena utamuonyesha nn mwambie njoo nkufundishe kupiga makofi bila kutumia mikono apo lazima uwini kakaDu Kwa hali hii ya uchumi wa sasa
Hii inaonekana ni mbinu nzuri sana ya kijeshisku ungne ukimuona tena mwambie aje kwako umuonyeshevkitu akiuliza tena utamuonyesha nn mwambie njoo nkufundishe kupiga makofi bila kutumia mikono apo lazima uwini kaka
Nifanyeje mkuu
Kwangu SI mbali mkuu hata kutembea unatembea tuMtumie laki kwenye simu. Mwambie nauli ya kuja kwako
Inaonesha umempa nafasi kubwa kwenye mawazo yako, kwanza punguza kumuwaza sana na kuwaza maisha yatakavokua ukiwa naye.Huyu Dada ni mzuri Sana Kila nikimuona Moyo mapigo yanaenda Kasi. Najihisi ni kama sijui Niko wapi.Nashindwa kuacha kumwangalia.
Namwangalia mpaka anajishtukia. Nashindwa nianze gia ipi kuingia kwake.Wakuu wenye uzoefu Naombeni maelekezo yenu .
Nikimwona ninakuwa na imagine vitu vingi vya kimapenzi ninamfanya kama vile vya kwenye tamthilia(mapenzi ya kwenye video).Natamani nimfanye awe wangu wa kumalizia shida zangu.
Nimemwambia namtani nikamwambia twende nyumbani akasema "Umeshasema unanitamani unataka kunipeleka nyumbani kwako kunifanya nini".Nikamjibu asiwe na mawazo hayo.
Nimemwambia aje basi tuongee Anadai kwamba nitamwambia nini.Nikamwambia Njoo utaona hukuhuku kwangu lakini kakataa. Mpaka sasahivi namuwaza huyu Binti.
Nawaza kuingia asalini maana Moyo umezama kwake.Wakuu NAOMBA msaada wenu Moyo wangu unakukuruka nikimwona nifanyeje awe wangu wa kumalizia shida zangu.
Ko unataka umle bila hela mkuu,we piga bakari nondo tuDu Kwa hali hii ya uchumi wa sasa
Kbsa tumia hyo mbinu mkuu afu uje ulete mrejesho na usisahau kuntag ukileta marejeshoHii inaonekana ni mbinu nzuri sana ya kijeshi