msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Jiongeze Mkuu,huyu dada ni mlimbwende kweli kwelikweli jamaa yake ni mchaga yupo na maduka ya jumla,dada mweupe,mrefu kidogo,amefungashia kimzigo flan cha kichokozi,yuko smart sana,katika stori za hapa na pale baada ya kuzoeana siku moja wakati tunaongea ananiambia jamaa hajamgusa kama mwaka na unusu hivi,kila akijaribu kumtengenezea mazingira jamaa hataki!nimejiuliza hili swali je nikimsaidia jamaa kuna shida jamani??
potelea mbali,najiuliza sana maswali jamaa anatatizo au ni nini??nimemshauri hata ajaribu kumpeleka kanisani lakini nasikia jamaa amegoma katu katuShida ipo pale ukagundulika unamsaidia mwenzio, kitakachokukuta utupe na mrejesho.
Mangi ni mwema ata do baada ya ndoa takatifupotelea mbali,najiuliza sana maswali jamaa anatatizo au ni nini??nimemshauri hata ajaribu kumpeleka kanisani lakini nasikia jamaa amegoma katu katu
Mambo ya ngoswe achia ngoswe mwenyewe fanya tu mambo yakopotelea mbali,najiuliza sana maswali jamaa anatatizo au ni nini??nimemshauri hata ajaribu kumpeleka kanisani lakini nasikia jamaa amegoma katu katu
demu ni kisu balaa,mimi nikadhani labda jamaa kitu haipandi mlima nini,yani yule mtoto hujiulizi mara mbilimbiliMangi ni mwema ata do baada ya ndoa takatifu
Mtoto nae amesha zoea mchezo, ngono kabla ya ndoa humchukiza Mwenyezi Mungudemu ni kisu balaa,mimi nikadhani labda jamaa kitu haipandi mlima nini,yani yule mtoto hujiulizi mara mbilimbili
huyu ni muke ya mutu isee,ameshaolewaMtoto nae amesha zoea mchezo, ngono kabla ya ndoa humchukiza Mwenyezi Mungu
Ni hatari zaidihuyu ni muke ya mutu isee,ameshaolewa
kwakweli sijamuacha,nimemsaidia jamaa!POTELEA MBALINi hatari zaidi
Una akili sana! Nilifikiri anataka ata aibiwe business plan ya mumewe kumbe anataka kusaidia ngono...watu wengine bhana!Mwambie akupe siri za mafanikio ya kibiashara za mumewe ili nawe upate jambo la maana badala ya kuwaza ngono tu tena na mke wa mtu.
Kumbe umeshafanya! Ulitumia kinga?kwakweli sijamuacha,nimemsaidia jamaa!POTELEA MBALI
Pamoja mkuu.Una akili sana! Nilifikiri anataka ata aibiwe business plan ya mumewe kumbe anataka kusaidia ngono...watu wengine bhana!