Nikimpenda tu, hatudumu

Nikimpenda tu, hatudumu

beby ake mama

Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
69
Reaction score
31
Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.

Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plz nitazingatia
 
kuna tatizo linanisumbua na cjui nilitatue vpi, tatizo langu ni kudumu kwa mda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye cimpendi /hayupo moyn mwang. Ikitokea NIKIMPENDA tu! cwez kudumu naye tena lazma nimuache mda mfupi tu nikikaa naye sana sizidishi miez6 cjui tatizo langu lipo wapi ushaur wenu plz nitazingatia

We ushawahi kuachwa?
 
Mmh..vipi umeweza kumwambia yule jamaa unampenda? ?
 
Pole subiri uachwe na wewe then tatizo lako ndiyo litakwisha
 
Unamaanisha jana tu umemwambia akakubali kuamkia leo mmeachana???
huyo bado cjamwambia natafuta kinga ili nicje kumuacha sabab kila nnae mpenda sidumu naye ila nicpo mpenda tutadumu naye miaka ming
 
Yaani wewe ndio unaacha mwenyew kwa hiari yako bila kulazimishwa na mtu afu unajihis unatatizo mhh. tatizo lipo kwako mwnyewe
 
Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.

Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plz nitazingatia
Najiuliza swali inakuwaje unadumu naye na haumpendi/ hayupo moyoni mwako?
 
Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.

Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plz nitazingatia

Sasa huyu unayempenda na unaogopa kumwambia mbona naye utakaa naye muda mfupi endapo atakukubali na umetuomba ushauri? Hata hivyo naona kuwa ni mjuzi wa haya mambo pamoja na kwamba unasema umeshindwa kumueleza.

Tukija kwenye thread hii..naona we ni miongoni mwa watu wanaotaka challenge ya maisha . Ukipata asiyekusumbua unamchoka. Unahitaji mwanaume wa kukufikirisha. Hata hivyo fanya maamuzi utaendelea kupenda penda mpaka lini?
 
huyo bado cjamwambia natafuta kinga ili nicje kumuacha sabab kila nnae mpenda sidumu naye ila nicpo mpenda tutadumu naye miaka ming
Pole eeh beby yake mama. Njoo pm tushauri maana this is serious case na inahitaji serious actions.
 
unampenda mtu halafu unamuacha? ?????
kwanini unamuacha sasa na wakati unampenda ? au unapenda vimeo havibebeki?
kitandani ziro
wallet negative
future uncertain
sura ya mamba etc
 
Yaani wewe ndio unaacha mwenyew kwa hiari yako bila kulazimishwa na mtu afu unajihis unatatizo mhh. tatizo lipo kwako mwnyewe
Kama nna tatizo je, nitalitatuaje? maana nackiaga ukiachwa na umpendae huwa unapata donda ndugu kwahyo mm hua najiwah kabla cjalipata sabab naogopa maumiv ya map**nz nackiaga ni machungu eti!
 
unampenda mtu halafu unamuacha? ?????
kwanini unamuacha sasa na wakati unampenda ? au unapenda vimeo havibebeki?
kitandani ziro
wallet negative
future uncertain
sura ya mamba etc
Jibu hilo

Back
Top Bottom