OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,682
- 120,372
KWA MFANO...............Mimi ni Director na afisa mwandamizi mahali fulani serikalini. Kuna issue mkuu Magufuli hajaielewa vizuri, hajataka nimueleweshe hata kama ni kwa maandishi ili ayatadhimini maelezo yangu. Ghafla vuuuuuup anakuja na makamera ya wanahabari. Anakuja na mzuka wa kunitumbua, kumbe mi niko smart. Anasema hiki na kile hakijakaa sawa na ananiita jipu. Lakini ukweli ninaujua kuwa kuna mamili.
Labda ni issue ya kulipa mishahara kwa watumishi waliokufa,ukweli ni kuwa Mwigulu Nchemba aliagiza mishahara ilipwe na hazina moja kwa moja, kwa hiyo sina namna zaidi ya kutoa taarifa tu kuwa fulani na fulani wafutwe kwenye payroll, nimefanya hivyo kwa wakati ila utumishi na haizna hawajafuta.Sina makosa.
Haya kuna dispensary haijaanza kufanya kazi. Naambiwa mzembe na nawakosesha watanzania huduma,HAPA KAZI TU, nataka kutumbuliwa. Ukweli naujua, kwamba serikali haijaleta ruzuku kumalizia vyoo na store ya madawa, na Wizara ya Afya imekataa kutoa kibali na kuleta wahudumu, barua za kukumbushia zipo.
Lakini pale nimetaitiwa na nanchoreshwa balaa na najua kabisa three minutes to come nitarushwa kwenye mamitandao nimesimamishwa kazi.... NAWEZA KUMJIBU MAGUFULI STRAIGHTFOWARD??
Nipeni muongozo.