hyassin92 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 582 Reaction score 635 Apr 30, 2020 #1 Nikimaliza chuo staki kuajiriwa ntafanya mishe zangu.. MISHE ZANGU: Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimaliza chuo staki kuajiriwa ntafanya mishe zangu.. MISHE ZANGU: Sent using Jamii Forums mobile app
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,339 Apr 30, 2020 #2 Kuanzia avatar yako, hadi ulichoposti... uko sahihi.
V victory02 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 1,159 Reaction score 1,588 Apr 30, 2020 #3 Ncha Kali said: Kuanzia avatar yako, hadi ulichoposti... uko sahihi. Click to expand... Mkuu mbona una uhakika wa maisha kiasi hicho utafikiri dawa ya Korona imepatikana
Ncha Kali said: Kuanzia avatar yako, hadi ulichoposti... uko sahihi. Click to expand... Mkuu mbona una uhakika wa maisha kiasi hicho utafikiri dawa ya Korona imepatikana
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Apr 30, 2020 #4 victory02 said: Mkuu mbona una uhakika wa maisha kiasi hicho utafikiri dawa ya Korona imepatikana Click to expand... Hahhaha yuko right namuunga mkono
victory02 said: Mkuu mbona una uhakika wa maisha kiasi hicho utafikiri dawa ya Korona imepatikana Click to expand... Hahhaha yuko right namuunga mkono
C commm JF-Expert Member Joined Sep 6, 2019 Posts 1,710 Reaction score 1,963 Apr 30, 2020 #5 Haha,mishe zako
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,339 Apr 30, 2020 #6 victory02 said: Mkuu mbona una uhakika wa maisha kiasi hicho utafikiri dawa ya Korona imepatikana Click to expand... Avatar yake ni nyau, post yake ni nyau.... mimi nimeunga mkono tu kuwa ni ukweli mtupu.
victory02 said: Mkuu mbona una uhakika wa maisha kiasi hicho utafikiri dawa ya Korona imepatikana Click to expand... Avatar yake ni nyau, post yake ni nyau.... mimi nimeunga mkono tu kuwa ni ukweli mtupu.
hyassin92 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 582 Reaction score 635 Apr 30, 2020 Thread starter #7 Hahhaa, what they f think Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 May 1, 2020 #8 Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,339 May 5, 2020 #9 Kichwa Kichafu said: Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi Click to expand... Mbona unatumia neno ‘siku chache hizi’ kwani zimebaki ngapi.?
Kichwa Kichafu said: Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi Click to expand... Mbona unatumia neno ‘siku chache hizi’ kwani zimebaki ngapi.?
Dunamist JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 474 Reaction score 689 May 5, 2020 #10 Uzi tayari??????????
golden face Member Joined Apr 27, 2020 Posts 6 Reaction score 1 May 6, 2020 #11 mkuu we kumaliza chuo ni ndoto za alinacha lazima ukwende
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,101 Reaction score 181,175 May 8, 2020 #12 Duuuh hatareee Sana , Basi sawaaa Sent using Jamii Forums mobile app
kekule benzene JF-Expert Member Joined Sep 28, 2016 Posts 1,967 Reaction score 4,423 May 8, 2020 #13 Upo sawa , mkiwa chuo ukimuuliza mwenzako anakuambia naenda kupiga mishe zangu mtaani. Akifika mtaani anaanza kuhangaika na mabahasha
Upo sawa , mkiwa chuo ukimuuliza mwenzako anakuambia naenda kupiga mishe zangu mtaani. Akifika mtaani anaanza kuhangaika na mabahasha
Y Young Efe JF-Expert Member Joined Dec 17, 2019 Posts 337 Reaction score 247 May 11, 2020 #14 Vizuri