Nikila maharage yanatoka kwenye kinyesi kama yalivyo; nini shida?

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
208
82
Habari wakuu, si mnajua siku hizi ni mwendo wa masinki tu huku kitu unakiona kabla hujakisindikiza na maji..
Sasa unavoona maharage yakiwa mazima kabisa tatizo ni nini?
 
Tafuna vizuri maana mechanical digestion yote inaishia mdomoni kwa hiyo usipotafuna chakuka kikishafika ndani hakuna kitakachoendelea kitatolewa kama kilivyo, chemical digestion itafanyika kwa kile chakula ambacho kimeshavunjwavunjwa tu.
 
Kweli
 
Ina maana hata kutafuna hutafuni mkuu, jitahidi kula taratibu furahia chakula chako usile kama mnakimbizana
 
hahahah sema unaona lile gamba la harage sio maharage kama yalivyo hii ni dalili kuwa mmeng'enyo wako tumboni unashida angalia vipimo vya vidondatumbo chap
 
Tatizo huyaivishi vizuri
tafuta maharagwe laini, wengine wanayaita soya, wengine maharagwe ya mbeya
chemsha mpaka yarojoke na kutoa chuzi zito. lisibaki hata moja limesimama km kidonge cha capsul
sasa pakua kwa chapati ugali au wali
kesho nenda kwenye sink km utaambulia kitu
 
Back
Top Bottom