... Usijitutumue kubakia ikulu kipindi cha pili .... shugulikia afya kwanza...!!!
There you are Nyani Ngabu, na mimi hamu yangu ni kujua kile alichokiona ambacho hakikuwa shwari kwake? Je alikuwa anapambana na nguvu za giza akazidiwa nguvu?
Mwenzenu mie nina maswali kwa Kikwete. Natamani nimuone Kikwete popote, iwe ni Ikulu au safarini katika kampeni ili nimuulize maswali haya:
Mwisho; namwombea Rais wangu afya njema, ninamwombea kwa mwenyezi Mungu ili maadui zake wote na nguvu za giza zote zinazoyanyemelea maisha ya Rais wetu na nguvu zozote zenye lengo la ama kumdhalilisha Rais wetu kwa kumwangusha mbele za watu na zile zinazokwamisha utendaji mzuri wa Rais katika kuijenga nchi.
- Kabla ya kuanguka siku ya tar 21/08/2010 wakati akifungua kampeni alionyesha kushituka sana, akasema "AISEE!!" akatulia kama sekunde arobaini hivi bila kusema neno, akauma meno halafu akaendelea kusema tumefanya mambo mengi huku akielekea chini kama mtu aliyesukumwa kwa nguvu na kitu. Swali ni je Kikwete aliposema Aisee, alikuwa ameona nini? Kama alijua kuna nguvu ambayo ilimzidi,kwanini hakufanya haraka kukimbilia kiti kabla hajaanguka kwa kishindo? Je jambo hili ni la kiafya au lina nguvu za giza?
- Jana tar 21 ilikuwa ni mara ya tatu kwa rais kuanguka mbele ya hadhra. Je anajua tatizo linalomkabili? Ikiwa anajitambua kwamba uwezo wake wa kustahimili mikiki mikiki ya kuongoza nchi ni mdogo, haoni kwamba kuna umhimu wa yeye kuridhika na miaka mitano aliyoongoza nchi na hiyo mingine akamwachia mwingine?
Hilo la pili ni gumu sana kwake.Mwenzenu mie nina maswali kwa Kikwete. Natamani nimuone Kikwete popote, iwe ni Ikulu au safarini katika kampeni ili nimuulize maswali haya: