Nikikumbuka naumia sana

We boya sana sasa kila mtu akileta simulizi za kijinga hivi si tunajaza sever kipumbavupumbavu tu,Leta mambo ya ujasiriamali humu tujifunze tutengeneze future njema
Acha zako bwana mdogo alete mambo ya ujasiriamali MMU!!

wewe ulishawai leta JF hizo mambo za kujenga future!!
 
Narudia tena ... Nisikien ...eny wanaume wenzangu "wadanganyika 7:12 .. Nayo inasema .. Usimsomeshe mchumba au kitu chochote kinachoendana na hicho ,maana utapata taabu sana "mwisho wa kunukuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We boya sana sasa kila mtu akileta simulizi za kijinga hivi si tunajaza sever kipumbavupumbavu tu,Leta mambo ya ujasiriamali humu tujifunze tutengeneze future njema
We mbuzi punguza kekele sio kila sehemu meeeee neeeee meeee
Kwanza uwe unaangalia upo jukwaa gani
Km una dhida ya ajira njoo hapa Bunju kwenye hekalu lngu nikupe kazi ya ushambaboi
 
Dah! Mkuu kama mimi yaliwahi nikuta hayo ila pole sana alimradi umesha cool now .unajua nilichogundua ni kuwa wadada wengi hawawezi kutofautisha upendo wa dhati na tamaa na wakishatuumiza wanajiona wame win kweli baadae wakishafunzwa ndiyo huanza tena kukumbuka walipotoka ila sikushauri uoe single maza kama kweli aliweza kurudi kwa jamaa na kukutelekeza je? Ukimrudia unadhani atashindwa kuzalishwa akiwa ndani ya ndoa?
 
Asante sanaa mkuu. ..
Wewe kwako ilikuaje story
 
Asante sanaa mkuu. ..
Wewe kwako ilikuaje story
Dah! Mi nilioenda nikiwa first year sasa kama unavyoelewa huyo binti ndiyo alikuwa mpenzi wangu wa kwanza na hapo sikui maumivu ya mapenzi wala kitendwa inavyokuwa kiukweli nilimpenda sana sana sana yaani nilimjali na nilijitahidi kadiri ya uwezo wangu kumfurahisha japo na yeye papuchi alikuwa anagoma kwa kisingizio cha ubikra mkuu sikufichi nilimwamini sana .
Nakumbuka ilikuwa ni likizo ya kwanza (semester 1) nilijaribu kimtafuta lakini mara nyingi ilikuwa simu inaita mwisho inakata ilichukua kama wiki mbili tatu hivi siku ya siku simu ikapokelewa nikaongea naye na kwa kuwa nilishaanza kuingiwa na wasi wasi ilibidi nimuhoji kama kweli ananipenda kwa nn anifanyie hivyo kukaa kimya takribani wiki 3 alichonijibu mkuu niliishiwa nguvu kwa kweli ,yaani bila hata ya kusita akatamka sina moyo kwako.dah hicho kitendo kiliniumiza kupita maelezo basi nikawa sina budi nikamwacha na maisha yake ila.namba yake sikufuta kwa kuwa bado nilikuwa nampenda akaanza weka status akiwa na jamaa yake nikaja kugundua kumbe alikuwa x wake na wamerudiana basi nilishindwa vumilia zile status nikafuta namba na kila kitu maisha yakaendelea .
Haikupita siku nyingi namba ngeni iliingia kwenye simu yangu kupokea kumbe ni yy anataka kurudisha mapenzi tena nilichofanya ni kukata simu na kubadili laini tu mpaka na leo huwa sina mapenzi ya dhati kwa hawa viumbe nikiri hilo huwa nawaaminisha nawapenda lakini moyoni najua nakula kisha najikataa
Samahanini kwa uandishi mbaya nagumia simu
 
Hahaaaa....hatari sana aisee mkuu
Kwaio saivi hakutafuti au kakata tamaa
 
Achana nae huyo, angekuwa hajazaa hapo sawa. Unaanzaje kurudiana na mwenzio ashakuwa single mother? Piga chini tafuta mwanamke mwingine, kwanza mpaka hapo hana shukurani mi naona kama anazidi tuu kukumbusha machungu ya kuvumilia 2 yaers without sex, wakati huo mwenzio alikuwa anakudanganya.
 
Pole sana,ukupigao ndo ukufunzao.Jaribu kuwa mtulivu na mwombe mungu atakupa mke mwema.
 
Asante sanaa mkuu kwa ushauri wako
 
Ypur story looks exactly as mine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…