kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,140
Akikutafuta mfungie vioo mkuu. Cha msingi mkule kwanza maana kumpotezea bila kumkula wakati ulishamgharamia sana bado utakuwa umeidhulumu nafsi yakoAsante kwa ushauri wako ila sehemu zingine social media ananitafuta
Sasa nikimla si anaweza kunipa mtego wa mimba ninaseAkikutafuta mfungie vioo mkuu. Cha msingi mkule kwanza maana kumpotezea bila kumkula wakati ulishamgharamia sana bado utakuwa umeidhulumu nafsi yako
Pamoja na kumjali kote, amekuona wewe ndio wa kutumia vitu used
Duh ...... Hivi condom huwa tumia wachache sana, Mkuu mimba itatoka wapi kama unatumia zana?Sasa nikimla si anaweza kunipa mtego wa mimba ninase
Vizuri mana naogopa kunogewa tukajikuta tumerudi kama awali mwishowe ndoaDuh ...... Hivi condom huwa tumia wachache sana, Mkuu mimba itatoka wapi kama unatumia zana?
Halafu wewe unapita naye tu kupoza machungu aliyokupa baada ya hapo kila mtu anaenda na hamsini zake
Hii iwe zamu yake yeye kujiona fala
Kimsingi, tafuta mtu mwingine permanent (kama bado huna)
Achana Nae!! endelea na life lako tu, maana hata ukirudiana urafiki hauwezi kuwa kama wa mwanzo inakua imewaathiri nyote kisaikolojia hamuwezi kuwa na furaha tena.Naumia sana hususani pale ambapo anaomba msamaha kuwa urafiki urudi kama awali aisee naona analeta mapicha picha
Nataka nikiwa mkubwa niwe kama wewektk vitu nilivyoshindwa ni kufukuzia nyuchi kama naomba pepo.
Kwanini mkuuHawa viumbe akili, zao wanazijua wenyewe
Mimi siwaaminigi hata kidogoKwanini mkuu
Ndio hapo sasa huyu anataka huruma kwangu saivi mana analialia tuuMimi siwaaminigi hata kidogo
Ningekuwa mimi hata namba yake nisingeitaka,maana unaweza kumsamehe, bdy unakuta amerudi tena kwa yule wa kwanza.ndo maana nasema hawa viumbe akili zao wanazijua wenyeweNdio hapo sasa huyu anataka huruma kwangu saivi mana analialia tuu
Ndio naogopa hiliNingekuwa mimi hata namba yake nisingeitaka,maana unaweza kumsamehe, bdy unakuta amerudi tena kwa yule wa kwanza.ndo maana nasema hawa viumbe akili zao wanazijua wenyewe
Nahisi unaelekea kumsameheNdio naogopa hili
Hahahaha kweli mtafute Kula mzigo then sepa angalau upunguze machungu ya muda na pesa ukizotumia kumhudumiaMkuu kutomjibu unadhani ndio unamkomesha?
Fanya ulichopaswa kufanya miaka kadhaa iliyopita kama send off yake
Hahaaaaa ahaaaa. ....hapo kwenye chama aiseeeRudiana Naye
Maendeleo Hayana Chama
jamaa anashangaza sana atakuwa ni mwanaume wa Dar cyo bure. Mm demu hawezi Kula hata elfu hamsini yangu bila kumfumua aiseeWanawake wengi wajinga sana.
Dawa usirudishe moyo nyuma,mwambie nina mpenzj wangu mwingine kwa sasa na tunapendana sana.
Wee jamaa na wewe sijui ndio udomo zege. Yaani upo nae muda wote umeshindwa kula mzigo na baada ya kutoswa nako bado upo tu unang'aa sharubu. Ndio maana watoto wa kike wanakuchezea sana.
Hiyo mimba atalea mwenyewe wewe mle then sepaSasa nikimla si anaweza kunipa mtego wa mimba ninase