lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,166
- 33,400
Lisikutishe hilo mkuu, Mungu ni mwema.Wagombe wa ubunge wa upinzani nchi Zima kushindwa uchaguzi,
Wagombe wa upinzani kutekwa wakirudisha fomu kwa wasimamizi wa uchaguzi,
Wagombe wa upinzani peke yao kukosea kujaza fomu za uchaguzi tu,
Wasimamaizi au maofisa wa uchaguzi kutokuwepo ofisini pale tu wagombe wa upinzani walipokua wakirudisha fomu,
Wakurugenzi kuogopa kuwatangaza washindi wagombe wa upinzani kwa sababu walionywa kuwa wamepewa magari na fedha wakitangaza mpinzani kashinda watakiona Cha moto, Ni kweli wengi walishinda lakini hawakutangazwa,
Mawakala wa wagombea wa wapinzani kufukuzwa ndani ya vyumba vya kupigia na kuhesabia kura,
Wasichana wanafunzi walipigwa mimba kwa kutongozwa na wanaume kutokuruhusiwa kuendeleza na masomo,
Agizo kwamba wabunge wa upinzani wakorofi wafukuzwe bungeni wakija uraiani nako watashughulikiwa,
Kauli Kama "maendeleo hayana vyama,ikipingana na msinichanganyie berti na magunzi,msinichagulie wapinzani sitawaletea maendeleo",
Kauli Kama msiwabomolee watu wa kwetu kwani hawa ndio walionichagua,
Nikikumbuka mashamba ya mboga ya Freeman yalivyovurugwa,
Nikikumbuka club yetu pendwa Bilicanas ilivyosambaratishwa,
Nikikumbuka watu wasiojulikana walivyowapoteza baadhi ya Watanzania wenzetu, walivyoiteka nchi yenye polisi mahili kabisa EA,Jeshi madhubuti kabisa Afrika,Maspy Bora kabisa duniani,
Watu walipoteza,waliteswa na kuuwawa lakini hakuna watekaji ama wauaji waliokamatwa,
Watu waliwekwa mahabusu miezi zaidi ya sita kinyume Cha sheria,
Kuna watu walipigwa faini kubwa ambayo hawangeweza kulipa ilibidi wananchi wenye mapenzi mema wawachangie,
Nikikumbuka Maxence Melo aliambiwa awataje kwa majina wakazi wa Jamiiforums,
Nikikumbuka wafanyakazi wakimaliza miaka mitano bila increment,promotion Wala ongezeko la mishahara,
Wakulima wa korosho walivyokua a na wanunuzi wa korosho ambao hawakuwazoea,maana walikuja na maroli na nguo za mabakamabaka,
Wafanyabiashara walipekuliwa akauti zao na Kodi nyingi wengi walisepa,
Nawakumbuka wafanyabiashara wa bureau de change,
Wanafunzi wa vyuo vikuu walijikuta wanabaguliwa kupata Loan board tofauti na hapo kabla,
Wanafunzi wa vyuo waliopata ajiea walijikuta wanalipa loan board zao kwa riba kubwa kinyime na mikataba ya awali,
Wakazi wa Kagera hawata sahau tetemeko la ardhi lilivyowatesa na baadae masimango yakafuata badala ya kufarijiwa,
Aisee Mambo Ni mengi yaliyotokea miaka mitano iliuopita,nikikumbuka ntakuongezea.
Mungu amejua kuwafuta machozi Watanzania,hakika Mungu fundi kweli kweliWagombe wa ubunge wa upinzani nchi Zima kushindwa uchaguzi,

Ameeeen,Mungu aniangalia kwa umakini Tanzania 🇹🇿 tumtumaini yeye tu
Happy Easter day#
Bila kusahau alivyoweza kununua wapinzani kwa ulaghai kwa fedha za umma kuonesha kuwa wanaunga mkono juhudi.Mkuu umesahau alivyotumia mamlaka yake kuteua vichaa kabisaaa , empty set kushika ofisi za umma , wakuu wa mikoa , wilaya , mawaziri , naibu , majaji , CAG , mwanasheria mkuu wa serikali and so many .
Lol Masikini!Huko aliko funza watakuwa wanamtafuna kwa hasira kama sehemu ya kuwalipizia kisasi watanzania kwa mambo ya hovyo aliyotutendea
Sio Mwema tu,Bali pia hadhihakiwi,lakini pia Mungu hampendi mtu mnafiki.Lisikutishe hilo mkuu, Mungu ni mwema.
Watu wanavuna walichopanda.