Sijawahi kufikilia kibaya juu yake namtakia yaliyomema.Sijui kwann ukweli huwa unauma sana haswa kwa mpokeaji,
Maana inafikia hadi hatua ya kumdhuru mwanadam mwenzio!
Na yamedhibitika kisoshali, kiekonomikali,saikolojikali eti hata politikali wakati huko ndo kwenye ushindani wa hoja, wao wakiziita hoja za mashiko.
Haya mambo bwana ni kama msiba usikie tu kwa jiran ila piga moyo konde atatokea m1 wa kukufuta macho utayasahau yote hayooMiaka mitatu sasa toka nimeachwa,
Nashukuru uepo wako kwangu umenifunza nisimuamini mtu maishani,
Kupitia wewe nilijua mapenzi ni nini, Mapenzi ukichaa, mapenzi upofu.
Kila mipango niliyopanda ulikuja mawazoni kama tutakua wote siku zote
"SINA HISIA JUU YAKO" lilikua neno ambalo ni pigo sana kwangu.
Litaishi kwangu daima. Nilikupenda sana upendo husioelezeka.
[emoji174]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidume gani unalialia kama demu!?
Mda mrefu sana huu.Miaka mitatu sasa toka nimeachwa