Nikikipata hiki nitatulia na kuoa

Na we ni bikra au mana wenzako wanaoa MKE wenye akili za maisha wasaidiane kutengeneza familia bora we unatafuta bikra, we ni mmoja unayesababisha mabint kutafuta bikra bandia, wangap waliolewa bikra badae wakawa vicheche had ndoa zimewashinda, endelea kutafuta
 
Kwa kizazi hiki kumpata msichana bikira ni ngumu km kumkuta Mchambuzi wa soka asiyemjua Messi.
 
nataka wa kujifungulia njia mwenyewe niwe napitamo mpaka kufa hizi ambazo watu wamejipitia mpaka wakatupa kule alafu mimi naokota peremende za mtaroni hapana aisehhhhh

Kazana kazana ila kama na we we sio bikra hupati ng'oo beba tu magume gume menzio.
 
Usiangaike mkuu nenda darasa la nne Na la tatu huko nafikiri ziko nyingi tu
 
Muwahi alie primary school, ila jihadhari kuna ishu ya miaka 30 behind bars...
 
Wewe utafuti bikra unatafuta kula kidonge kimoja hdi mwisho wa Ma isha yko haya ongeza idadi
 
Endelea kutafuta kwa bidii, waweza bahatisha samaki kwenye machimbo ya almasi ya mwadui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…