Nikiingia you tube sioni comments za video

Ova

Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
46
Reaction score
31
Habari za leo,Nina shida kwenye simu yangu naomba wataalamu wanisaidie,nimenunua simu mpya Tecno Spark 2,Kama kawaida yangu napenda nikiangalia video you tube nisome na comments hapo hapo ila yangu haionyeshi shida ni nini wataalamu naomba msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Video ikianza kuplay shuka chini kabisa (scroll down)utaziona
 
Back
Top Bottom