Nikiingia kwenye mahusiano yanavunjika ndani ya muda mfupi sana

Pole sana.
Utakuwa una hulka fulani za upole ule uliopitiliza, haujachangamka, hauna amsha amsha. Ukizingatia na umri ndio kabisaa, vumilia tu mpaka ujitafute na kujipata. Utatendwa sana tu maana good boys huwaga hawana bahati sijui kwanini!!
Mungu tu akusaidie in the long run usije kuwehuka huko mbele ukawa na roho mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah..yani sina raha kabisa katika maisha yangu
 
Pole mkuu maana nimesoma na kuona frustratiom ulizonazo

Ila kwa kauli ya "Kuwa kama mwanaume"

Ikitoka kwa mtoto wa uswahilini inamaanisha hauna haiba ya kiume na ninadhani inatokana na hapo kwenye "Upole, unyenyekevu na ustaarabu ". Kwa umri wa miaka 25 lazma una_date na mabinti walio chini ya hapo

Sasa kwa stage hiyo drama na amsha amsha ndio hupewa kipaumbele kwa walio wengi. Sasa bro kama umepoa, unatabirika, huna sauti, masculinity na wewe ni mtu wa kupelekeshwa .automatically unadharaurika na ukijichanganya uswazi ndio wanatamani hata wakuvishe kijora (kumradhi).

Pia Nimesoma between lines na nimeona hujiamini, haujivunii kuwa wewe yaani haujipendi kwa jinsi ulivyo, ushajiona umepungukiwa na unaona njia bora ni kuwalazimisha watu wakupende.

Hivi kitu si bure lazma kuna sababu ya hii hali ambayo ndio tiba yako ilipo, pengine inatokea kwenye makuzi yako au historia flani uliyonayo. Si kitu cha bahati mbaya au kusema huna hata idea nalo kama unavyosema
Ni kweli nina historia kwenye maisha yangu ambayo imenijengea nidhamu ya kutojiamini toka nikiwa mtoto
 
Ninapitia katika hali Kama yako hivyo naujua uchungu wa upweke kwa kukosa mpenzi kwa muda mrefu.

Ninachokisema wengi hawajazugumzia engo hii kwamba uenda Kuna kitu Cha Giza kinakublock wewe kufurahia mahusiano Kuna majini mahaba, laana za ukoo, au husda,kijicho, mazongo.

Katika maisha hata ukiwa mchafu, mkorofi, mjinga na maskini wa kiasi chochote kile lazma utampata mwenzio wa kufanana nae atakaekuwa tayari kukuvumilia kwa hayo yote. Ndio maana Kuna watu hata wewe unawaona wanakuibia Hadi demu wako lakini ukiwaona na kuwachunguza unagundua ni wa kawaida tu! Sababu Ni rahisi hao ndio watu hawana spiritual blockage kana kwamba Ni rahisi kwao kuwa accepted.

Inawezekana kukataliwa na wanawake kadhaa lakini ukiona idadi imekuwa kubwa na haudumu kwenye mahusiano ujue Kuna kitu Cha ziada kinasumbua.. Demu mmoja kukukimbia ni kawada ila wakiwa 10 ujue kimeumana.

Ninachokushauri kulingana na tatizo lako unahitaji zaidi spiritual deliverance kuliko Advise ya kawaida.

Na watu wa hivi huwa mnakuwa perfect saana kwenye kila idara za kawaida kuanzia usafi n.k lakini kumbe Kuna tatizo tofauti kabisa.

Nahisi niishie hapa.
Ni kweli mkuu yani nipo safi mpaka ukiambiwa nipo single miaka yote uwezi kuamini sijui utanisaidiaje mkuu
 
Atuongei mpaka leo so ni ngumu kumuuliza
Duuh hapo basi ni bora ujitafakari kwa kina tatizo lipo wapi ila muda mwingine waweza achaa tuu yanaweza pita na muda na jitahidi kubadilisha mindset yako
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 kiukweli toka nimekuwa mtu mzima mpaka leo sijawahi kudumu kwenye mahusiano japo kwa miezi miwili mi mara nyingi ni mwezi mmoja then nakula kibuti cha haja hichi kitendo kwa kweli kinanipa wakati mgumu na kinanifanya nisijiamini kabisa coz nikishaingia kwenye mahusiano basi naanza kuwa na hofu basi najitahidi kumtreat mpenz wangu vzr ili yasitokee yaliopita lakini bado unakuja kumwagwa sasa sijui shida ni nini?

Maana muenokano wangu c mbaya na napendwa hatari shida ni kuwa nikiingia tu kwenye mahusiano hata na hao wanaoonyesha kunipenda bac ni mwezi mmoja mapenzi yanakufa kitabia ni kijana mpole, mstaarabu na mnyenyekevu.

Sasa sijui huwa nakosea wapi au ni mkosi mwezi uliopita nilijitahidi nikapata mtoto mmoja mzuri sana ila juzi tu tayari nimemwagwa et kisa niliahidiwa kiss na hugging bac mi nikapitiliza nikashika mpaka mbunye kuamka asubuhi nakuta tayari nimemwagwa na nishakula block ya nguvu kuja kumuuliza kisa naambiwa nilivunja masharti yani niligusa sehem ambazo sikuahidiwa.

Hakika ninaumia sana sijui tatzo langu huwa ni lipi mpaka kuna kipindi nilijiona sina thamani nkawa napiga nyeto tu kwa miaka kadhaa maana mahusiano kwangu yashakuwa magumu ila baadae niliamua kuacha.

Nakumbuka kipindi flani nyuma nilibahatika kuwa na mahusiano na mtoto mmoja wa uswahilini siku moja tupo gheto aliniambia kauli moja KUWA KAMA MWANAUME mpaka leo hii kauli huwa naitafakari sana nae hatukudumu coz alienda kugawa namba yangu kwa muhuni mmoja wa huko uswahilini akaanza kunitishia maisha siku nilikuja kuwafuma mshikaji ni choka mbaya hatari lakini bado kaweza kuniangusha hapo ndio nikaamini nina tatzo mahali na kuna kipindi aliniomba tishet zangu nikampa nayeye akaenda kuumpa huyo muhuni wake hakika niliumia sana sifa zangu huwa ni mpole sana na pia kitendo cha kutodumu kwenye mahusiano kimenifanya nisijiamini kabisa.

Hii kitu imeniathiri sana kisaikolojia napoona watu na wapenzi wao huwa najuuliza sana kasoro yangu mimi ni ipi maana nikitongoza nakubaliwa ila baada ya hapo ni kumwagwa.

Naamini hapa jf ni mahala sahihi pa kupata suluhisho la tatizo langu naombeni msaada wa mawazo yenu ili niondokane na tatzo hili. Kiukweli hali ni mbaya nahitaji msaada. Note mimi ni msafi sana tena mtanashati
Mkuu una nyota ya kikorea, siunaonaga kwenye movie zao wapendanao wanakuwa pamoja kwenye episode ya mwisho kabisa?

Jitahidi usikurupuke kuingia kwenye mapenzi. Ukimpenda demu, mfanye awe friend wako hata kwa mwaka mzima, then baada ya hapo ndio umtongoze. Hata ikitokea amekukubali alaf baada ya mwezi mmoja akakutema, atleast uhusiano wenu unakuwa umedumu kwa mwaka na mwezi mmoja.
 
Duuh hapo basi ni bora ujitafakari kwa kina tatizo lipo wapi ila muda mwingine waweza achaa tuu yanaweza pita na muda na jitahidi kubadilisha mindset yako
Ndugu yangu nakwambia ukiambiwa nipo single miaka yote uwezi amini na nkitongoza wanakubali ila sasa baada ya hapo kimbembe
 
Duuh hapo basi ni bora ujitafakari kwa kina tatizo lipo wapi ila muda mwingine waweza achaa tuu yanaweza pita na muda na jitahidi kubadilisha mindset yako
Sawa mkuu but ni muda mrefu toka nianze kusumbuliwa na hii tatzo yani hata sielew kwakweli
 
Mkuu una nyota ya kikorea, siunaonaga kwenye movie zao wapendanao wanakuwa pamoja kwenye episode ya mwisho kabisa?

Jitahidi usikurupuke kuingia kwenye mapenzi. Ukimpenda demu, mfanye awe friend wako hata kwa mwaka mzima, then baada ya hapo ndio umtongoze. Hata ikitokea amekukubali alaf baada ya mwezi mmoja akakutema, atleast uhusiano wenu unakuwa umedumu kwa mwaka na mwezi mmoja.
Daah..yani nahisi kuchanganyikiwa kabisa
 
Back
Top Bottom