Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,877
- 57,495
nguvu tu ya soda.wapi enzi za mwakyembe,mama kilango, na wengineo hana lolote ni kama moto wa kifuu unawaka na kuzima tu ghafla gamba ni gamba tu
we humpendi Aggrey Mwanri?

sisemi kitu kwakweli wachanimfuatilie nijue ananini huyu mtu.nilikua simfuatilii sana Mwanri katika siasa za hapa Tanzania lakini My Young Brother alinishawishi sana nikaanza kumfuatilia Jamaa ni Mchapa kazi na hana aibu na hacheki na wazembe wazembe na maumuzi yake ni magumu ambayo hata JK na Pinda wake hawawezi kuyaamua
nilitamani siku moja ashike tamisemi!
Go Mwanri. . .
I know. . .wakwetu kabisa yule na amejitahidi sana kwakweli!!mbunge wa siha ndiyo alipigania mpaka siha ikawa wilaya kujitenga na Hai,nilimwona pale lutheran siha wakati wa ibada ya shukrani kuchaguliwa mbunge jinsi mji mzima ukimsindikiza,nafikiri alikuwa na haki kuacha ualimu.
Kwao sanya juu wanakula vumbi kwakwenda mbele
wachagga bwana...