matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,225
- 3,944
Na ndoto zako zinakutuma kuwa utaingia Ikulu Kesho?
atajuta kuitwa Aggrey,bora angeitwa Maulidi.
Na ndoto zako zinakutuma kuwa utaingia Ikulu Kesho?
Nakukumbuka ulivyokuwa mkuu wa wilaya arusha,nlikuwa form one,uli2saidia wanafunzi ktk suala la usafiri.kweli umeacha legacy.NAKUONA UNAVYOJIBU MASWALI KWA UFASAHA unaijua vyema jiografia ya tanzania na matatizo ya watanzania.HATA UNAIBU WAZIRI WA TAMISEMI si saizi yako.UNAMPOTEZA WAZIRI WAKO MBAYA KABISA.MWANRI UNASTAHILI UWAZIRI MKUU.wakuu sijatumwa ila ni maoni yangu 2