Nikiiangalia hii picha roho inaniuma sana

Nikiiangalia hii picha roho inaniuma sana

Inakuuma kivipi mkuu!? mbona mwenye mke tabasamu nono, harafu utafiti unasema kuwa mwanamke mwenye mimba, mtoto anaweza kufanana na mtu yeyote anaempenda au anaekua karibu sana nae kipindi ana mimba, awe kaka, mdogo wake, mjomba, nk. Unaweza ukampa ujauzito mkeo harafu kipindi ana mimba akatokea kumpenda sana mwigizaji frani labda mzee majuto, amini mtoto akizaliwa akiwa wakiumme atafanana kwa kiasi frani na huyo mzee majuto.
Hii ni sayansi au mahubiri!?
 
Angalia mkono wake alipoupeleka???

Ana mkono alioshika mic angalia pete ya ndoa alipoivalia,
 
Safi sana ukitaka kuishi kwa maajabu na miujiza hayo ndio matokeo yake, siku hizi vijana tunapenda sana miujiza
 
66cd8fed6734b41e5416d3b3a12deb2b.jpg

Ni muda mrefu toka hii picha isambae katika mitandao ya kijamii ila mpka leo nikiiangalia roho inaniuma sana

Mmmh..kwa upande wangu wife anachakujibu kwa kweli..!
 
Yaan sijui limbwata au ndo dah.........
of koz sihitaji dna wala dina mm hapo huyo mchungaj atanieleza wallahi nae
 
Mkuu kwan ndio ww baba wa mtoto
Hahahaha kama ningekua mm ndio baba picha yangu ungeiona katika magazeti tuna juu kuna neno mauaji ya kinyama chini ya picha yangu maandishi madogo madogo yangeandikwa mume aliyemuua mchungaji na mke wake alaf habari kamili ukirasa wa tatu
 
Mkuu unaweza tuelezea kitaalam tokeo fertilization mpaka delivery jinsi huyo mtoto atakavofanana?
Tupe nondo mkuu hapa tutoe tongotongo

Maana mtoto ana chrosome 46.kutoka kwa baba 23 na kwa mama 23
Hiyo ya kucopy sura kwa kupenda mtu inaathiri vip DNA ya mtoto

Shusha nondo mkuu
Bora umeuliza mkuu maana mimi nilikua speechless[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee pole inakuuma kuliko ata muhusika
 
Back
Top Bottom