..Nikifika A town...

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
47,468
Reaction score
101,398
..Wenyeji wa huko Niambie kabisa nikija....
..mnanipokeaje?

..NB...nahitaji Mtura,na Ratiba zote za BATA...bila kusahau UJI wa SHANGA
 
Usiache kufika ma*t*ko bar! Utapata burudani sawasawa!
 
..Wenyeji wa huko Niambie kabisa nikija....
..mnanipokeaje?

..NB...nahitaji Mtura,na Ratiba zote za BATA...bila kusahau UJI wa SHANGA
Week hii tumesitisha kupokea wageni we labda uwasiliane tu na Preta kwa huruma anaweza kukupokea!
 
Last edited by a moderator:
We nae si umwambie hatupokei wageni mpaka Dr. Ulimboka apone!

nimeshamwambia.....khaa....kila mtu anataka kuja Chugga....kwendeni zenu....nendeni Nachingwea huko......na Msoga....
 
..Wenyeji wa huko Niambie kabisa nikija....
..mnanipokeaje?

..NB...nahitaji Mtura,na Ratiba zote za BATA...bila kusahau UJI wa SHANGA


MMMh!! uji wa shanga ndio nini tena jamani?
 
Ukija nitakupeleka mahali fulani pa ukweli sana!
We njoo tu
 
Karibu sana kwa Mromboo ule mbuzi choma!
 
nimeshamwambia.....khaa....kila mtu anataka kuja Chugga....kwendeni zenu....nendeni Nachingwea huko......na Msoga....

Acha hizo wewe... mpokee mwenzako anakujia
 
Arusha wako juu sana nasikia hata wana jf wanatembeleana. msalimie Sana MKIRUA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…