Nikifanyiwa interview na wabongo nakosa kazi, lakini nikifanyiwa na watu wa mataifa ya nje napata kazi

Tangu huyu mtoto alivyosemaga marketing ni course tu ambayo unaweza kusoma hata ukiwa bar..maneno yale member waliompa yalikua ni laaana tosha..
 
Akili za Kugongwa Gongwa hizi sasa mzee anayekufanyia usaili pale utumishi katika nafasi zile 400 ili uingie TRA utakuja Kumpindua Wapi? Acheni Ujinga vijana Mjiandae kikamilifu kwenye saili mbalimbali.
Wewe umekalili na TRA tu!
 
Vigezo vinavotumika in tofauti. Serikalini hata umri unaweza kukukosesha kazi
umenikumbusha kuna mzee mmoja aliomba kazi na kwenye cv aliainisha kila kitu pamoja na umri, akaitwa kwenye interview mbili (oral na written) siku ameitwa kusign contract wakamwambia aisee kwa umri huu tusamehe kwa usumbufu hatuwezi kukuajili. Serikalini kuna upupu mwingi sana
 
Hello ndugu watanzania!
kuna kitu huwa kinanishangaza,yani nimewahi kufanya usaili sehemu tofauti tofauti ikiwemo serikalini na private sector na miongoni mwa hizo sehemu nilizowahi kufanyiwa usaili zipo sehemu nilizowahi kuafanyiwa na watu kutoka nje ya nchi kama vile kenya,china,marekania ,south africa ,india,na uingereza.

sasa basi miezi kama miwili iliyopita niliwahi kufanya usaili serikalini na kiukweli ilikua ni moja ya interview rahisi sana ambayo nimewahi kuifanya katika maisha yangu lakini cha ajabu eti ile kazi nikaikosa.

Last week nikaitwa kwenye interview nyingine kwenye kampuni moja binafsi ya uuzaji wa mafuta na gas, kwenye ile interview kulikua na wakenya, wahindi na mmarekani mmoja, wakanichapa maswali na nikajibu kadri ya uwezo wangu then ilivyofika ijumaa wakanipigia wakaniambia nimepata kazi na tayari wamenitumia kwenye email yangu contract niperuzi kama nikiridhika nayo niwape majibu then January mbili nikasign mkataba rasmi wa kazi.

Hii ni mara ya nne kufanyiwa usaili na watu wa nje na katika mara zote nimepata kazi mara mbili lakini so far sijawahi kupata kazi ambayo nilifanyiwa usaili na mbongo mwenzangu.

So napenda kujua iweje watu wa nje ambao kiuhalisia nakua hata siwajui na inakua ni mara ya kwanza kukutana nao kwenye usaili wanipe kazi lakini wabongo wenzangu mara zote wananiona sina vigezo, inamaana wabongo ndio wanajua kuchuja sana watu?
Wabongo unafiki mwingi na chuki.Hatupendani kabisa hata hizo interview naamini ulishinda lakini roho mbaya tu ......
 
Ukabila, undugu, kujuana, vimemo, n.k
 
Siyo kila mara lazima upate. Na wakati.mwingine inategemea na washindani wako kwenye kazi.
 
umenikumbusha kuna mzee mmoja aliomba kazi na kwenye cv aliainisha kila kitu pamoja na umri, akaitwa kwenye interview mbili (oral na written) siku ameitwa kusign contract wakamwambia aisee kwa umri huu tusamehe kwa usumbufu hatuwezi kukuajili. Serikalini kuna upupu mwingi sana
Ukishagonga 35years old serikalini ni bahati na sibu unless uwe special/professional
 
Hao wazungu,,wahindi wanaokuja Fanya kazi Africa..kwenye history nilifundishwa ndio vilaza wao huko makwao wametupwa huku forgotten continent. Ebu wachunguze vizur
Mmmmmmmmh nmepata ukakasi kdogo, aiseeee inaamaana hata Walter Rodney alkua kilaza maana kafundisha udsm,,, afu alfanyiwa assassination na wazungu .........
 
usikute hai wabongo hata wao hawajui wanachokuuliza au wana watu wao yatari
 
Back
Top Bottom