Habari za wakati huu wana jukwaaa.
Weeks kama mbili zilizopita nilipata mchongo flani hivi wa kazi asa katika pitapita zangu za hapa na pale kuna kidemu nikakutana nacho nikawa nimekielewa.
Si mwanenu nikakiomba namba kikawa hata hakijanikazia.kikanipa namba.
Asa kwa siku hiyo sikukitafuta nikaamua kukicheki kesho yake nilivyomaliza harakati zangu.
Basi chattings zikawa kama hivi
Mimi:mambo hellen
Hellen😛oa
Mimi:Mzma ww?
Kenyewe:niko poah sema bado sijakupata.
Mimi:mimi fulani tulimeet jana maeneo x nikawa nimechukua contacts zako unakumbuka??
Kenyewe:Aaah kumbe ni ww nimeshakupata,za toka jana?
Mimi sikutaka kukachatisha sana kwa wakati huo nikaachana nako mpaka nilivyokatafuta usiku wake mida kama ya saa 4 hivi.
ambapo nilikatongoza na kakawa kama kako suprised maana hakakuamini coz kaliona ni mapema(kwa mujibu wake)
Nikapambana nako kimashambulizi mpaka kalivyo kubali kiaina.
Nikasema ngoja nikaombe appointment kesho yake tukutane tuyajenge physically maana binafsi mitongozo ya kwenye simu huwa siitegemei asilimia 100 ila huwa naitumia kama sweepers(mliopita jeshini mtanielewa)kusafisha uwanja ili tukikutana face to face kusiwe na maswali mengi sana.
Basi katoto kawatu kakakubali kesho yake nikutane nako mida kama ya saa kumi na moja jioni kitaa chao nikiwa nimeplan muda huo makusudi.
Kitaa chao sio mbali sana na kitaa changu ila ndo hivyo nilikaambia nakaa location nyingine kabisa na kwakua kalikua kageni maeneo yale na hakakuwahi kuniona kabla basi hakakustukia mchongo kuwa be wanatokea karibu.
Nilivyokutana nacho the appointment day basi tukayajenga serious na kwa jinsi kalivyoonesha ni kama kaliniaccept pia.
Asa tukawa tunapiga story timing ikiwa ni jua lizame nikanyonye mate plus mipapaso ili nipunguze mzigo
Basi kigiza kilivyoingia nikawa nakiconvice tunyonyane mate but kikawa kinaleta upingamizi hapo tu but kwenye mipapaso nilifanikiwa kukishikashika.
Nikawa nimekimind siku hiyo nikaondoka zangu.
Zikapita siku kama tatu tukiwa tunachat tu mpaka nilivyo kaomba appointment nyingine but this time nilikaambia kabisa acha utoto usiniletee pigo kama za siku ile.
Tulivyokutana utoto ukawa ni uleule binafsi nilikamind sana siku hii na nikaondoka nimefura machoni mwake ila nilivyofika home life langu likasonga kama kawaida.
Kikawa kinanitext sijibu.
Mpaka ilivyofika kesho yake nikawa naendelea na mishe zangu kikawa kinanihoji why jana hukujibu text zangu .
Nikakiambia ulinikera hatari ni hujui tu basi kiawa kinaomba msamaha pale nikakipotezea.
Niliona kama ni bado kana akili za kitoto ndo maana kinasumbua.
Nikaplan nifanye mishe zangu maana kama ni vile mpango umefeli.
Basi tukawa tunachat kawaida na mood ta mapenzi na kama ikawa imekata kwake hivi.
Nikawa sina time nako tena kakawa hata kakinitext nakajibu kwa kujisikia.
Kaliniuliza why unafanya hivi kama ulikuwa unanipenda kweli.
Nikakijibu kina utoto mwingi.
Nimepata likizo nimerudi home naona kinanisumbua kichiz.
Kinanusumbua sumbua sumbua.
Next week narudi sehemu alipo so na plan nikagegede tu tena nikaambie now kwamba next week nakuja jiandae kwa mgegedo otherwise tusisumbuane na namba yangu ufute.
Tunatesa kwa zamu..
Nipeni ushauri next week narudi huko kilipo niikakifyatue au nikipotezee