Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,658
- 7,092
Uzi wa mtoto 😂
🤣Nimepata wakati mgumu sana kusoma huu uzi, Sina cha kukushauri....kila la heri
View attachment 2770397
Janja Unazingua mbona mtoto kaeleweka? Alafu si mkutane maeneo rafiki ya kumuongezea uhuru, achana na kuvizia kigiza cha jioni huko barabaraniKitoto kinanisumbua halafu nimekuja jukwaani kukiombea ushauri watu mnanishangaa
Haya ndo maneno mkuu.Janja Unazingua mbona mtoto kaeleweka? Alafu si mkutane maeneo rafiki ya kumuongezea uhuru, achana na kuvizia kigiza cha jioni huko barabarani
HahahaMkuu njoo na wewe unigongeee mke wangu.
Ruksa
Hahah videmu vya mizingaNa wewe ni kidemu nini.
Kijana ngoja nikueleweshe... kuna kitu kinaitwa "Trendings" kwenye app ya jamii forums, nimeona uzi wako wa kitoto na kipumbavu kwenye trendings na kichwa cha habari nikajua kuna story yenye mafunzo au contents nzuri huenda tutaokoteza mawili matatu. Maana mafunzo na ushauri havina ukomo wala umri... nakutana na utoto 😂😂😂Wewe mkubwa unafanya nini.
Acha kuchekacheka.
Ili tuelewane kwanza acha kuchekacheka.Kijana ngoja nikueleweshe... kuna kitu kinaitwa "Trendings" kwenye app ya jamii forums, nimeona uzi wako wa kitoto na kipumbavu kwenye trendings na kichwa cha habari nikajua kuna story yenye mafunzo au contents nzuri huenda tutaokoteza mawili matatu. Maana mafunzo na ushauri havina ukomo wala umri... nakutana na utoto 😂😂😂
Watoto wa tisini mwishoni na elfu mbili mna mambo sana 😂🙌🏾
Kwenye jamii yeyote hawakosekani, hii ni jamii kwahiyo jifunze kuishi kulingana na uhalisia huu.Haya ndo maneno mkuu.
Tatizo wengine wanajikuta wajuaji sana humu jf.
Mtu kaomba ushauri,kama unao mpe kama huna pita hivi sio lazima ukomenti.
Kuna watu wamefanya kukomenti jf ni kama faradhi kwao.
Basi pengine inawezekana uko kwenye foolish age.Sikubahatika kusoma hayo madarasa ya la ngapi mi nimesoma madarasa ya standard.