Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
Dah mkuu [emoji28][emoji28]Jiulize swali la Muhimu. Angekuwa Yesu angefanya nini?
Wakuu, kwanza poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima ya leo. Ndugu yenu nataka kufanya maamuzi ila sitaki nionekane nimedhulumu haki ya mtu...
Hata mimi sitaki magari ya watu mkuu, vitu vinabeba roho. So siwezi kujua ni kwanini wameniachia hili gari jipya kirahisi namna hii.Hiyo gari ujimilikishi, unapewa, huu ujinga wa kutokujua utaratibu unawapaga hasara sana, wewe haujasajiliwa kufanya hiyo biashara, hata kama umeandika IGA jamaa wakorudisha hela hata mwakani gari lao utawapa, labda wawe waungwana.
Dai hela yako kama makubaliano, achana nq magari ya watu, hasawahalifu.
Uko sahihi kwa sehemu mkuu. Ni kweli tunapoelekea kuna kutafutana kabisa.Pesa ndogo iyo kwa Crown. Hao mafia ukiwadhurumu watakutafuta.
Cha kufanya, wakirudi hewani, wakulipe na riba.
Hata mimi sitaki magari ya watu mkuu, vitu vinabeba roho. So siwezi kujua ni kwanini wameniachia hili gari jipya kirahisi namna hii.
Aidha, kuhusu utaratibu wa kujimilikisha hilo gari ni rahisi sana, tena kwa utaratibu halali kabisa wa Kisheria, kuna kitu umechanganya ndio maana umezungumza kuhusu usajili, mimi siko huko mkuu.
Shida yangu kubwa ni hela yangu irudi kwenye biashara zangu.
Hata mimi nahofia kuja kutafutana siku za usoni. Tatizo ni kwamba nina shida sana na hiyo hela kwenye biashara zangu.KUA MPOLE WUTAKUJA KUKUPOPOA UKILETA UJUAJI HATA KAMA NI HAKI YAKO..!!
Hata matofali [emoji23][emoji23]Kwani gari imekaa ndani kama picha?
Anza kuizungukia na kuifanyia biashara. Bebea hata matofali.
In case wakija hela watakupa, wasipokuja unakua umerudisha hela yako
Kujimilikisha naweza kwasababu nina makubaliano (mkataba) ambao niliandikishiana nao kwa Wakili. Kitaalamu, kule TRA wakati wa transfer of ownership, badala ya mkataba wa mauziano, unawekwa huu mkataba wangu wa kukopeshana fedha kwa dhamana.Huwezi kujimilikisha gari, kwa sababu kadi haisomi jina lako; tofauti na hapo wanaweza kusema gari imeibiwa na kadi yake, na wewe ukawekwa ndani...
Kesi haiwezi kunipata mkuu. Nina mkataba halali ulioandikwa kwa Wakili ambao mmiliki halali anakiri kunikabidhi gari lake kama dhamana, tena kwa hiari yake yeye mwenyewe.Rafiki yako alivokataa ulimwona mjinga? Anawajua vzr kuwa sio watu wazuri.
Itunze hio gari, Nina hofu kesi ya uwizi wa gari utasimama nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wakopeshaji wengine, ukiweka kitu bond basi wanakuendea kwa Sangoma.
Ukienda kutafuta hela hupati, mwishowe tarehe zinatimia na hujapata. Anachukua uamuzi wa kujimilikisha kwa bei kitonga.
Ila wanawaoataga wajinga tu.