Nikifanya application NACTE napata Error message

Nikifanya application NACTE napata Error message

Namfanyia dogo application ya diploma kupitia NACTE. Napoingia index number ya form six inakuja message hii :
Error! Provided Index/ Registration number and examination / graduation year not found in our data base.

Hapa nafanyaje wadau? Kila nikipiga NACTE namba zao hazipatikani.

Dogo kamaliza form six 2017.

Sent using Jamii Forums mobile app

!
!
Taratibu. Nina ujuzi na uzoefu na NOAS. Jibu maswali haya halafu nitakupa suluhisho
1. Mdogo wako anatokea form six au kamaliza cheti anaingia diploma?
 
Matatizo ya kimtandao hata mi ilikua inagoma hivyo hivyo baadae ikakubali na nimeapply vyuo vitano bila shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu,
Hivi ukishalipia M-Pesa na ukajisajili kwenye mfumo wa Online Application NACTE baada ya hapo zitakuja list za vyuo au unafanyaje mkuu naona mambo sijaelewa vizuri..

Tafadhari nielekeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namfanyia dogo application ya diploma kupitia NACTE. Napoingia index number ya form six inakuja message hii :
Error! Provided Index/ Registration number and examination / graduation year not found in our data base.

Hapa nafanyaje wadau? Kila nikipiga NACTE namba zao hazipatikani.

Dogo kamaliza form six 2017.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia index no ya form four ya Six haiwezi ikafanction

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom