Kijana matata
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 603
- 307
Sawa mkuu ngoja na mm nijaribu Mara kwa maraMi nilikua nawapigia hawapokei lakini nikiwa najaribu mara mara nikafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ngoja na mm nijaribu Mara kwa maraMi nilikua nawapigia hawapokei lakini nikiwa najaribu mara mara nikafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sasa system ya kuaply ni wewe kwenda chuo husika na kuchukua formNamfanyia dogo application ya diploma kupitia NACTE. Napoingia index number ya form six inakuja message hii :
Error! Provided Index/ Registration number and examination / graduation year not found in our data base.
Hapa nafanyaje wadau? Kila nikipiga NACTE namba zao hazipatikani.
Dogo kamaliza form six 2017.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wengine wanafanikiwa. Na nacte wenyewe wamesema wanapokea application.kwa sasa system ya kuaply ni wewe kwenda chuo husika na kuchukua form
Matatizo ya kimtandao hata mi ilikua inagoma hivyo hivyo baadae ikakubali na nimeapply vyuo vitano bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hivyo Vyeti Vya Form 6 (2017) Bado Hawajaingiza Kwenye Database! Cha Kufanya Select Kwenye A Level Certificate Then Continue With Application
Sent using Jamii Forums mobile app
Diploma IPI? Afya Ni Form Four! Ila Ukiwa Na 6 Wanasema Ni Added Advantage! Kama Unataka Afya Tumia Cha 4 Kama Result Nzuri! Kama Unahis Ulikuwa Vibaya Sayansi Add Na A level! Ingawaje Now Nacte Bado Hawajaingiza Results Za Form 6 Kwny Database Yaondgu mie nina shda nataka kufahamu kama chet cha form six unaweza kuombea diploma
Diploma IPI? Afya Ni Form Four! Ila Ukiwa Na 6 Wanasema Ni Added Advantage! Kama Unataka Afya Tumia Cha 4 Kama Result Nzuri! Kama Unahis Ulikuwa Vibaya Sayansi Add Na A level! Ingawaje Now Nacte Bado Hawajaingiza Results Za Form 6 Kwny Database Yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuendelea mbele mpaka ikubaliMkuu Hivyo Vyeti Vya Form 6 (2017) Bado Hawajaingiza Kwenye Database! Cha Kufanya Select Kwenye A Level Certificate Then Continue With Application
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikubal Nin? Baada Ya Kumaliza Kuandika Namba + Details Za O Level! Inakuja Menu Yenye YES/NO! Ina Maswali Matatu ( Umemaliza A Level? Chuo Cha Ufund? Etc). Ww Pale Unaweka NO Kote! Then Una Continue!!!! Unaendelea Na Usajil Kama Kawaida! Kuchagua!!! Sas Hapo Unaposema Inakataa Na Lazima WAP?
Mimi nataka nitumie qualifications za form 6. Alaf niseme no. Kwamba sijasoma advance au?Ikubal Nin? Baada Ya Kumaliza Kuandika Namba + Details Za O Level! Inakuja Menu Yenye YES/NO! Ina Maswali Matatu ( Umemaliza A Level? Chuo Cha Ufund? Etc). Ww Pale Unaweka NO Kote! Then Una Continue!!!! Unaendelea Na Usajil Kama Kawaida! Kuchagua!!! Sas Hapo Unaposema Inakataa Na Lazima WAP?
Sent using Jamii Forums mobile app
we ulifanikiw vip au ilikubal tu yenyewMsijali hela haipotei hata mimi nilipata tatizo kama hilo lakini baada ya muda nikafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema NO Then Ukishachagua Vyuo Kuna Options Ya Ku Add Qualifications! Utaa Add Hapo.Mimi nataka nitumie qualifications za form 6. Alaf niseme no. Kwamba sijasoma advance au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Huku Afyani! Diploma Physics Ni Lazima! Then Math + English Ndio Added!Wakuu napenda uliza kama nitakubaliwa kusoma diploma ya pharmacy ..mimi nimehitimu ACSEE 2017 CBG na kupata DEE lakini O LEVEL CSEE SIKUFANYIA MTIHANI PHYSICS JE kusoma diploma ya pharmacy nina RUHUSIWA??
Okay mkuuMkuu Huku Afyani! Diploma Physics Ni Lazima! Then Math + English Ndio Added!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu. Be blessedSema NO Then Ukishachagua Vyuo Kuna Options Ya Ku Add Qualifications! Utaa Add Hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app