Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,725
- 13,747
Huu wosia nauacha kwa mke wangu na wale wote wanaopenda kuoa wake za marehemu.
Sasa kwa mke wangu nawaambia msije mkamuoa, haiwezekani mahali pangu pa kujidai, namkubja ninavyojisikia eti aje jamaa awe anamkunja tena, hiyo never.
Hayo ni maeneo yangu ya kujidai.
Credit Nikifa MkeWangu Asiolewe