with due respect naomba kwa mara nya kwanza leo nitofautiane na wewe dadaangu
Kaungahuwezi kumpenda mtu bila sababu.....lazima kuwe na kiu kinachokuvutia kwake iwe ucheshi,uzuri wake,tabia n.k
lara 1 yeye lazima mtu wake awe vifurushi vinne lakini pesa mbele