Lakini in modern World sio kwamba tunatafuta sifa fulani fulani kweli kwa wale tunaoamua kuwa kwenye mahusiano nao?Sio rahisi kujua sababu za kumpenda unayempenda kama kweli wampenda.
Ukiwa na sababu tu, basi hiyo sifa ikipotea na mapenzi hupotea.
Kuna ka binti kamoja kalikuwa karafiki kangu tukipiga stori hii na ile,
Siku moja tumekaa tukiongea hili na lile mara gafla kakaniuliza swali hili,
"Sijawahi kumuona mpenzi wako, lakini hebu niambie yukoje?"
Mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene au mwembamba?
Si nikakosa jibu, kwasababu hata siku moja sikuwahi kujiuliza kipi kilifanya nikawa na huyo mpenzi wangu,
Najua sababu ya yeye kuniuliza lakini swali lake lilinipa nafasi ya kujiuliza pia,
Hivi nini kilikufanya uwe na huyo mpenzi uliyenaye sasa?
Je kama ni sababu fulani, akitokea mwingine leo mwenye zaidi ya sababu hizo utamwacha uliyenaye sasa?
"Mimi, wewe, ni sisi.........tujiulize, tuulize na tuulizane...........tutafika tu
Lakini in modern World sio kwamba tunatafuta sifa fulani fulani kweli kwa wale tunaoamua kuwa kwenye mahusiano nao?
Perhaps ndio mwanzo wa ndoa nyingi kutodumu au kuwa na vidumu kama milioni hivi kwa wahusika
Nimeona nisiongeze kitu hapa kabisaaaa maana ntaharibuNajua, kuna vitu unakuwa attracted navyo toka kwa mtu; note ATTRACTION
Kuna misingi ambayo umejiwekea say elimu, dini, umri etc hivyo vyote tuviweke kwenye kundi la COMPATIBILITY
lakini kuna kumpenda mtu bila kujua sababu hasa. Na ukitaka kupima, anza kujiuliza ni kitu gani ulichompendea hupati moja kwa moja. Akipoteza baadhi ya sifa bado unampenda tu na sio kufeel uko COMMITTED naye.
Mapenzi yetu walio wengi, ni yanaangalia vitu hivyo 2, yaani attraction ana compatibility na yanashikiliwa au yanagundishwa na COMMITMENT (iwe watoto, au Vows).
Najua, kuna vitu unakuwa attracted navyo toka kwa mtu; note ATTRACTION

Umemaliza kila kitu mama! Ukimpenda mtu hautakua na jibu la kipi haswa umempendea na haufungwi na comittment yoyote! Na utampenda either awepo ama asiwepo! Hiyo ndio inaitwa kupenda kwa MOYO, ila kuna kupenda kwa AKILI....hii ndio ipo kwenye mapenzi ya sasa na inakwenda pamoja na vigezo fulani fulani! Vigezo hivyo vinaweza kuwa vingi na ukadhani unampenda jinsi alivyo ila ukweli ni kuwa vikipungua na mapenzi yanapungua
Kwa sisi wakristo tunasema siku hizi watu wamepoteza hofu ya Mungu. Nakumbuka zamani watu walikuwa wanajiuliza mara mbili, je kuna mtu ananiona? Kama hapana anajiuliza tena, je Mungu ananiona? basi anaahirisha kile alichokuwa anafikiria. Lakini siku hizi watu wanajiuliza nusu ya swali la kwanza na la pili hawajiulizi kabisa.I like the way ulivyoi-summarize.
Ila cha ajabu tunashauriwa tusipende kwa moyo tutumie AKILI, sasa kila mtu akitumia akili kuna haja ya kula kiapo cha mpaka kifo kitutenganishe?
Kuna siku mtu mmoja alikuwa anasema mara nyingi ukifuatilia sana wale wanaume wanaotoka nje ya ndoa utagundua kwamba wake zao wanakuwa wamebadilika kwa kiasi kikubwa na hata hao wanaotoka nao huko nje huwa wengi wao wana sifa walizokuwa nazo wake zao wakati wanakutana au wanaanza mahusiano yao