Nikaribisheni

Nikaribisheni

Picha ni lazima utuwekee kwenye huu uzi wako wa utambulisho. Ni kigezo ambacho ni lazima ukitekeleze.
Mmmhhhh hapana kwa kweli picha Siwezi weka. Ni bora wani leftishe tuu.
 
Putin stands for " a Man with no Bad Days " !!.
232638018b5e9261b237043bbcdcde3b.jpg
you hear the whisper ?.
I just read not heared . hao makatuni ndio wamesikiana 😀 😀
 
Send me ur voice note
Well ,HUMU

hamna application ya kutumiana voice or kupigiana call.
Hutakiwi kuweka Picha zako ktk majukwaa kama hapa ,,picha mnapeana huko Private Message.
hutakiwi kuweka majukwaan mawasiliano yako ,Bali mawasiliano mnabadilishana PM ukipenda kubadilishana namtu.
hutakiwi kushea classified info zako majukwaan unless umeamua kufanya kwa kupenda ,,ila pia mkiwa Private Message PM ,mnaweza kushea

Kwaufupi ukiwa majukwaan hutakiwi kushea info zako muhimu ,maybe uwe umependa ,, Ila mengi yanafanyika PM .

Kuweka hapa classified info , nihatar kwa usalama labda uwe unaamin hauna kitu chakupoteza !!.

Hivyo maswali utakayoulizwa sana nayanayohusu we zaidi ,unaishi wapi ,nchi gan,mkoa gan ,sijui elim+kazi +familia zako ,,yaan ukiulizwa mjibu tu *Nifate PM* hii nikwafaida yako na usiri Wa mambo yako !!.

Kinyume nahapo ,unaweza kuja ukajilaumu maana kila mtu anakua anakujua !! Sasa hapo ndo kimbembe !!

99.9% yawatumiaji Wa JF wanatumia Majina ya Uongo ,sio yakwao hayo !!! Hii nisababu ya Usiri !!.

HIVYO JARIBU KUISHI KAMA JAMII YAKO ILIVYO !!.
 
Haya maelezo yote yalikua hayahitajiki. Ungesema kidogo tu kua humu haiwezekani.
 
No brother ila sio vibaya
Yaaah ukifatilia koment za huyu mdada utagundua bado hajajua what's going on humu,,sasa kuliko kumuacha aje ajue kwabaadae nawakat tayar everything is open inakua sio poa , nawatu atakaowalaumu nisisi pia !!.
 
Well ,HUMU

hamna application ya kutumiana voice or kupigiana call.
Hutakiwi kuweka Picha zako ktk majukwaa kama hapa ,,picha mnapeana huko Private Message.
hutakiwi kuweka majukwaan mawasiliano yako ,Bali mawasiliano mnabadilishana PM ukipenda kubadilishana namtu.
hutakiwi kushea classified info zako majukwaan unless umeamua kufanya kwa kupenda ,,ila pia mkiwa Private Message PM ,mnaweza kushea

Kwaufupi ukiwa majukwaan hutakiwi kushea info zako muhimu ,maybe uwe umependa ,, Ila mengi yanafanyika PM .

Kuweka hapa classified info , nihatar kwa usalama labda uwe unaamin hauna kitu chakupoteza !!.

Hivyo maswali utakayoulizwa sana nayanayohusu we zaidi ,unaishi wapi ,nchi gan,mkoa gan ,sijui elim+kazi +familia zako ,,yaan ukiulizwa mjibu tu *Nifate PM* hii nikwafaida yako na usiri Wa mambo yako !!.

Kinyume nahapo ,unaweza kuja ukajilaumu maana kila mtu anakua anakujua !! Sasa hapo ndo kimbembe !!

99.9% yawatumiaji Wa JF wanatumia Majina ya Uongo ,sio yakwao hayo !!! Hii nisababu ya Usiri !!.

HIVYO JARIBU KUISHI KAMA JAMII YAKO ILIVYO !!.
Duh hapa nimeelewa kila kitu. Shukurani sana asee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom