Nikaribisheni

Dah, Uzi unakimbia kwa kasiiiiii. Kisa wewe ni Ke au me!! Nyiee, nchi ya viwanda tutaifikia kweliii???? Tunawaza raha tu
 
Aniva kama ni Ke, basj I loved huu already
Sio unifikirie, unikubalie tuu. Gharama tutashare. Mkubwa wewe ujue!!!
 
Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age

Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Karibu sana dada yeti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…