Aje chako ni chako atanikuta nakula makange ya foil.
Wana JF mlioko Dodoma leo nipo hapa mjini kwenu nitakuwepo wiki moia tafadhali nikaribisheni kwa lengo la kufahamiana
Best wewe subiri ugeni wa tarehe december 27 tu.
Nausubirije sasa yaani uhondo unaukosa