Halafu ukute ndio
Unique Flower kaamua kuja kivingine π π .
Anyways kama ni babu kweli kuwa makini sio kila unaemuona kwenye dp ndie uhalisia wa muhusika.
Usipokuwa makini pesa ya mafao yote utaishia kuhonga kwa kibabu mwenzio kinachojifanya binti.
Humu hakuna pisikali kuna maajuza, mashangazi na masingle mama yanayotafuta second chance in life.