NATA umeona eh! wengi hawajkui kama hizi simulizi zangu zina mafunzo ndani yake.Kwa kweli ni kiboko, thanks Mtambuzi keep it up,
Hii imenichekesha kweli!
But kuna ukweli mwingi sana katika hili kwa tabia za vijana wanaojipatia umaarufu kwa kuwa wajanja wajanja tu na wengi wao wamekatika na ukimwi kwa kujiona vistar uchwara na kulamaba vibinti bila mipaka...
Hii ya ndoa ya mkeka naona ilikuwa fundisho kwelikweli na ingekuwa mara nyingi linafanyika hivi nadhani lingepunguza kidogo udokoaji wa vibinti.
alaaaah, kumbe ndio weweeee...
Kuna dada yetu tuliwahi simuliwa kuwa aliwahi fungishwa ndoa na mpiga mziki kipindi cha ngoma ya mtoto wa mwanakwetu alafu akakimbiwa mara baada ya ndoa na kuachiwa mimba ya mapacha watatu...
Tutafutane ndugu yangu japo tukapate moja moto, moja baridi!!!
Si vbaya ukaja na mkeo wa sasa na kama una binti pia ili tuweze fahamiana vizuri zaidi
gfsonwin ....... Duh, nitasingiziwa mengi humu leo, maana nimeona hata lafudhi yako leo imekuwa ya Kizaramo..................lolest kumbe ni weye ulikujaa ukaozwa na shehe jumaa pale kwa mzee Tilikele? uliozeshwa shemejiye omary Tilikele? aitwaye Mwana asha eeh! sasa siku hizi mwanaasha kesha olewa alikauwa anaishi Tandale jirani na mzee Chuche yule mmwera. Alisomeaga kozi ya recods keeping na kwasasa anafanya kazi wizara ya mali asili kama mtu wa records. Labda nikupe namba yake ya simu umpigie lakin anaish Kinyerezi. pOle sana Mtambuzi
Mtambuzi , hapo nimesema "huwa nakuja hapa mara kadhaa. Napenda hadithi zako. Zinaelekea ni masimulizi halisi. Je, unaandika vitabu (vya hadithi)?"Duh, hapo umeongea mcharazo umeniacha kabisa Muito obrigado!
Jijengee tabia ya kupenda kusoma.
Wa TZ tunasemwa sana kuwa tu wavivu wa kusoma.
Hebu tuikomeshe hii tabia.lol!
Hahahaha, mkuu huna haja ya kuogopa maana ni kitambo sana sasa, sidhani hata huyo mkeo mwenyewe anakukumbuka.
Mkuu hivi unajua kuwa yule still ni mkeo halali kabisaa maana you never filed a divorce:dance:
ukome uzinzi
no hawezi kuwa mke hata kama ilifungwa kisheria but kama hakumuingilia basi si mkewe.ndio maana mume akifa pasi na kumuingilia mkewe hata siku moja basi mke hapaswi kukaa uzuka.
Da Asia kumbe unapajua Ununio eh,yaani nimecheka mpaka nimeishiwa point ya kuchangia.... Sipati picha ulivyotimua vumbi hadi barabara kubwa maana kuna mwendo pale, si bora sasa hivi kumerahisishwa kidogo kuna boda boda.
Sasa ukileta kutishiana utaharibu dingi. Niambie tu nilikuwa conceived kwenye ngoma gani. Haiwezekani nikawa sina akili shule kiasi hichi!
I demand to know kabla sijaita kikao cha ukoo