Nikaona jeans ITV habari leo!

Duh mkuu upo faster au ilikaa mda mrefu??
 
Ndio kawaida yao mbona Mara kibao tu tena huyu wa Leo ndio wanamuonea Mara nyingi nguo yake ya chini Inaoneakana!! Wabadilike.
 
Tena huyu ndio anavaaga mpaka madera utamkuta anapepea kwenye bajaji anawahimkutangaza taarifa huku kavaa ndala zake za wamasai..mxxxxx

kweli kuishi kwingi....
 
So usmart ni juu ya tumbo tuu chini utajiju.
 
Nnakushauri TV yako ishushe chini, ipo juu sana. Chini ya TV pawe 2" (nchi mbili) kutoka kwenye hiyo meza nyeupe.

huyu atakuwa alilala gesti
ivi nyumban kwako TV una i mountain juu namna hiyo si wataugua shingo?
 
Halafu pia bandua milebo hiyo upande wa juu kushoto hapo haina upya tena...nina wasi wasi utakuwa msukuma wewe
 
Wakuu ktk chumba cha utangazaji wanachojali sana ni sehemu ya juu,niliwahi kufanya kazi ktk kituo kimoja wakati wanafanya installation ya TV,kuna chumba maalum"make up room"unajipodoa maeneo ya juu tu kwani mle studio kuna taa nyingi mno"ice lights"hivyo chini hat ucpovaa kitu hakuna Wa kukuona,huyo mdada inekuwa Bahati mbaya camera man amezoom "in"akaonekana chini ya kiuno,lakini ukweli wanajali sehemu ya juu peke take.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…