Watu wa CCM wazembe sanaUnauwezo mdogo sana wa kufikiri na maamuzi ya kipumbavu. Unawezaje kufanya maamuzi ya hovyo kiasi hicho kisa siasa? Hutakiwi kuendeleza milengo ya kisiasa hatà baada ya hayo kupata.
Unalazimisha upewe pesa na mwanaume mwenzako?Unauwezo mdogo sana wa kufikiri na maamuzi ya kipumbavu. Unawezaje kufanya maamuzi ya hovyo kiasi hicho kisa siasa? Hutakiwi kuendeleza milengo ya kisiasa hatà baada ya hayo kupata.
Mimi sina undugu na kenge. Kama kuna mwanaCCM anahitaji msaada wangu nitamuambia akaombe huo msaada kwa Mahera au Musiba.Siasa zisiwafanye mvunje udugu
Ingekuwa utani wa jadi, TL asingepigwa risasi na uchunguzi usifanyike.Duh! Tumefika hapo, Siasa iwe utani wa jadi.
Unauwezo mdogo sana wa kufikiri na maamuzi ya kipumbavu. Unawezaje kufanya maamuzi ya hovyo kiasi hicho kisa siasa? Hutakiwi kuendeleza milengo ya kisiasa hatà baada ya hayo kupata.
Wewe ni ZombiSafi sana mkuu hata mimi kuna kenge mmoja namsubiri aingie kwenye kumi na nane nimmalize
Nyoo...kuna maamuzi ya kipumbavu zaid ya kuwaua wengine na kuwatishia uhai wao?? Yuko sahihi kabisaa..ashike adabu yakee..tena na urafik uishie hapo hapo..shikilia hapo hapo mzee baba..hakuna kukopesha hapoo..Unauwezo mdogo sana wa kufikiri na maamuzi ya kipumbavu. Unawezaje kufanya maamuzi ya hovyo kiasi hicho kisa siasa? Hutakiwi kuendeleza milengo ya kisiasa hatà baada ya hayo kupata.
Mbona mnashangaa hilo la kukataa kukopesha na hamshangai kuwaua watu wa upinzani?? Makali yakiwa kwenu mnasema siasa ni utani wa jadi..nyie mkiwa mmeshika mpini siasa inageuka kuwa uadui..Duh! Tumefika hapo, Siasa iwe utani wa jadi.
Muhuni huyo. Mpe za usoni. Wameiba kura kuturudishia madarakani akina spika dhaifu na wachungaji wanaobemenda kondoo "nileteeni gwajima". Hovyoo.Huyu ni rafiki yangu wa kitambo. Alikuwa mwanachadema mzuri na mpigania haki kweli kweli. Basi likaja lile wimbi la wapinzani kununuliwa na ccm akasepea ccm kuunga juhudi. Nikawa namcheki tu
Uchaguzi umekuja akawa mstari wa mbele kuikandia chadema na kuipaka matope wakati ndiyo iliyomtoa jalalani. Akawa mwanaccm machachari kuliko hata wenye chama chao. Nikawa namcheki tu
Basi uchaguzi umeisha anakuja kwangu analialia alivyofulia, maisha yalivyomuwia magumu maana wajumbe walimkatilia mbali, eti anataka nimkopeshe pesa walau akawanunulie watoto ugali
Sikumchelewesha nikampa makavu laivu, nikamwambia umeshiriki kuwadhurumu watanzania na kuikana kweli kisa vipande vya fedha
Umetema big g kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie watoto fly over na bombardier...pumbav
Nikamwambia sikukopeshi hata mia shubaamit na urafiki ufe
Dawa ya hawa wasaliti wa haki ni kuwafungia vioo. Walidhani watakuwa na bei zao special za cement, sukari nk, kumbe tunakuja kusota nao hukuhuku mtaani