nikamlaza chini kisha nikam...........!!!!!!!!

nikamlaza chini kisha nikam...........!!!!!!!!

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

JAMAA MMOJA MUONGO ALIWAKUSANYA WATU NA KUANZA UONGO WAKE

MUONGO juzi nimeenda ngorongoro kumbe swala hawana mbio kabisa. nilipomuona swala nikashuka kwenye gari nikaanza kumkimbiza, nimemkimbiza weeeeee nikamkamata nikamlaza chini

MARA GHAFLA SIMU YA MUONGO IKAWA INAITA AKAPOKEA SIMU

MUONGO haloo nambie mtoto mzuri.......... ..yani nakupenda mpaka najipigaga ukutani yani........... powa basi mida mke wangu

MUONGO AKAKATA SIMU AKAIWEKA MFUKONI KISHA AKAWAULIZA WASIKILIZAJI

MUONGO hivi tuliishia wapi?

WASIKILIZAJI tuliishia umemlaza chini

MUONGO eheee baada ya kumlaza chini nikaanza kumbaka

WASIKILIZAJI heee ukambaka swala?

MUONGO hee kumbe swala? nikamchinja nikamchuna ngozi.
 
Duh hii nayo kali utadhani viongozi wa ccm

Nimecheka bwana
 
Ila jamaa muongo kweli hv swala huyo amkamate alikuwa ana dalili za typhoid au kuhara damu?
 
teh teh teh,ili ulinde uongo unatakiwa uwe na kumbukumbu la cvyo utaumbuka
 
tihitihitihitihitihitihitihitihitihitihitihitihitihitihitihitihi
 
huyo atakuwa fastjet kusema kweli kama siyo basi atakua kawa mbwa.
 
Back
Top Bottom